Taarifa mbaya niliyo ipokea hivi punde kuhusu mwana jf mwenzetu "GENTAMYCINE" kuto onekana kabisa

Taarifa mbaya niliyo ipokea hivi punde kuhusu mwana jf mwenzetu "GENTAMYCINE" kuto onekana kabisa

Uzi umekaa kimasikitiko utadhani jamaa amedanja
 
tupo naye kwa ID nyingine na hata hii comment tayari ameisoma. Ila mshauri abadiliahe mwandiko ule anaotumia kwasisi watumiaje wa simu unaboa kuumiza macho n.k au awe ana u bold

mwenzie nyaningambu siku hizi anachezea kichapo cha ban tu
hahaaa nyani ngabu ban imekuwa kama nyumbani kwake "" nadhani alilewa umaarufu wa jf
 
Una mpa umaarufu bure!Yule ni Mjuaji wa mitandaoni,mtu muongo!Anayejifanya yuko close na founder wa JF!!
Anaboa anaboa kwa kutoa vitisho!Kujifanya mbabe!!!
Moderator walifuta nyuzi yangu moja!
Nashangaa yako wameiacha
 
Back
Top Bottom