Taarifa mbaya niliyo ipokea hivi punde kuhusu mwana jf mwenzetu "GENTAMYCINE" kuto onekana kabisa

Taarifa mbaya niliyo ipokea hivi punde kuhusu mwana jf mwenzetu "GENTAMYCINE" kuto onekana kabisa

Moja katika wachangiaji wakuu na waleta Uzi au mada zenye changa moto na kuibua mambo mbalimbali katika jamii yetu.
Watu wengi sana humu walikua wakijiuliza huyu MTU ameenda wapi au ameacha kutumia jamii forums.
Lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa amepigwa banned na uongozi wa jf sijui alifanya kosa gani
GENTAMYCINE
Ila huyu jamaa alikua maarufu sana humu na watu wengi wali mfatilia hasa katika nyuzi zake na comments zake I hope watamfungulia hivi karibuni ili ajiunge nasi GENTAMYCINE
Watu kama hawa ni sana has a katika kukushauri na kuibua makosa katika jamii

Na kuna baadhi yatu pia hawa onekani kabisa kama
NAHUJA
Na kadhalika
Nilidhani kajiteka
 
Yule jamaa mbona ni zuzu tu anachokiandika huwa ni upupu..

Tatizo lake kubwa ni kwamba ana grandiose delusion. ..yaan anajihisi ni mtu mkubwa na wa muhimu kumbe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu
 
Umenistua sana mkuu angalia jinsi ya kufikisha taarifa. Nilijua nissani.
 
Back
Top Bottom