Taarifa mbaya niliyo ipokea hivi punde kuhusu mwana jf mwenzetu "GENTAMYCINE" kuto onekana kabisa

Nilidhani kajiteka
 
Yule jamaa mbona ni zuzu tu anachokiandika huwa ni upupu..

Tatizo lake kubwa ni kwamba ana grandiose delusion. ..yaan anajihisi ni mtu mkubwa na wa muhimu kumbe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu
 
Hivi ukipigwa banned huwezi kuacess kabisa Jf?
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe ni mbingu na ardhi.
 
Umenistua sana mkuu angalia jinsi ya kufikisha taarifa. Nilijua nissani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…