Neuro JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 1,551 Reaction score 1,721 Sep 24, 2023 #41 Faana said: Basi unatetea usiyoyajua nyuma ya pazia Click to expand... Wewe wasema, anonymity isikuongopee. Ila umbea sio sehemu ya maisha yangu. Tuhuma zitakupeleka pabaya kama huna ushahidi nazo. Insurance policy ya bima ya afya ya taifa ni ngumu sana kwa private health insurers kuimplement. Best of luck my friend.
Faana said: Basi unatetea usiyoyajua nyuma ya pazia Click to expand... Wewe wasema, anonymity isikuongopee. Ila umbea sio sehemu ya maisha yangu. Tuhuma zitakupeleka pabaya kama huna ushahidi nazo. Insurance policy ya bima ya afya ya taifa ni ngumu sana kwa private health insurers kuimplement. Best of luck my friend.
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 Sep 24, 2023 #42 NiggaPac said: Kwa wale ambao hawasomi? Hawana haki ya kupata bima? Click to expand... Hii ndiyo Tz mzee Wanatoa ufafanuzi utadhani wamekatwa kichwa
NiggaPac said: Kwa wale ambao hawasomi? Hawana haki ya kupata bima? Click to expand... Hii ndiyo Tz mzee Wanatoa ufafanuzi utadhani wamekatwa kichwa