Taarifa;mrejesho wa marejesho ya safari yangu ntwara....

Taarifa;mrejesho wa marejesho ya safari yangu ntwara....

Umekosea wa kumuagiza mama.... huyo dogo ni maneno matupu... ntakuletea vitenge vya Congo na Ghana..

naeka akiba ila nahisi ataleta. Woow thanks sana Baba V
 
Last edited by a moderator:
Nyie ndio mnaotafutwa na nchimbi umeenda kuchochea vurugi za ntwara.
 
Mkuu mbona ulisema umemsamehe Invisible na wenzake for that banful event..!??? sasa mbona unaagiza tego tena..!?? ngashituka, machale kundensa

mpwa nimecheka peke yangu hadi basi.......nileteee tu ntakuonyesha kazi yake, nataka nipate la kukodisha niongeze kipato
 
Back
Top Bottom