nimekoma
Hivi nazo ziko kwenye kundi la vyakula vinavyoongeza nguvu yetu ile...!!???
Mwenkiti sijajua ila nimezitamani sana hizo
Ooh my hubby karibu sana usisahau kuniletea korosho na vitenge jaman.
Umekosa wa kumwagiza mama..., huyo ni maneno matupu...
Naskia ulifika NA MTUMBO chakula cha mchana ukala NA KAPANYA afu ukalala NA NGURUWE , ni kweli umezunguka vijiji vyote hivyo..!? .
nyie ndio mnaotafutwa na nchimbi umeenda kuchochea vurugi za ntwara.
Mkuu mbona ulisema umemsamehe Invisible na wenzake for that banful event..!??? sasa mbona unaagiza tego tena..!?? ngashituka, machale kundensa