Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Toka hapaaa,ni kali ee?balimi jesiku moja muagizie Ego halafu wewe kunywa Seneta!.. ndege mfananao mtaruka pamoja🙂
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka hapaaa,ni kali ee?balimi jesiku moja muagizie Ego halafu wewe kunywa Seneta!.. ndege mfananao mtaruka pamoja🙂
Nguvu tu alizonazo siziwezi nimuongezee hayo tena unataka nifwe,ila sema mtamu siwezi hata kufampe G mbili halafu mpanulie uone sebene!... halinaga loki asubuhi lile!.
Mbaya jamaniiihivi mnanena kwa lugha au ni hizi hizi sausage nazozijua!m..
SiliDada yao kina nani!?.. Me kama bro wenu nasema kaonjeni!..Majibu mtaleta humu hasa wewe sabby!..
halifai lilee
Atakuua mtafute mbarika mpe Alinywe muangalie!..Nguvu tu alizonazo siziwezi nimuongezee hayo tena unataka nifwe,ila sema mtamu siwezi hata kufa
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Weka picha ya mtu akiokunywa ego au seneta niaminiHata sio kari au chungu ila yana shughuli wakati wa kuondoka!.. yanabadili centre of gravity!..[emoji23]
Balimi bia yangu kanda yangu tena!. unatuangusha wasukuma wewe binti!..[emoji1]
Anavyonipenda haweziAtakuua mtafute mbarika mpe Alinywe muangalie!..
zile Kanda ya ziwa ndio zinasoko huku kwingine za kutafuta!...Weka picha ya mtu akiokunywa ego au seneta niamini
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Ndo zangu hizoKwa hiyo hupendi pelekeshwa Rough kama watolewa roho!?..
Mrs Van unaona hasara za kutopata kinywaji hizi!..
[emoji23][emoji23][emoji23]yani hata ikiungwa na nazi sausage mbaya jaman. Mnakula kwa mazoea tuhahaa kumbee basi unaipasha au kaanga na vitunguu, ukimaliza na kapilipili balaa [emoji23].
Naomba date na wewe, nikakulishe sausage!😉