Hapo sawa nilijua unataka kuokoka kabisa ningeandamana kutoka nyumbani kwangu mpaka jf urudie kunywa pombeNimekuwa overweight, nataka nipungue kama KGS 8 ndo nirudi.
Hapo sawa nilijua unataka kuokoka kabisa ningeandamana kutoka nyumbani kwangu mpaka jf urudie kunywa pombe
Nitaona itakuwaje, ila natamani kukaa 3 months.
huyu ni wild pigkwahy we mtoa mada ni kitimoto o nguruwe ?
Aaagh Don usifanye hivyo bwana mwezi unatosha sana
JamaniMwezi hautoshi, ntakupeni kampani.
Mekumiss sweety 16!..
Tatizo kama ya Necta hiyo Papa!..
Kula ntakula tu, ila hii mpaka mitihani tabu kenekene!!..
Nikubebe vizuri ukilewa mama!..
unadhani kweli basi nilikua nampa kampani tu huyuu!!.. Eti mimi kabisaaa niokotee ovyo!?.. Mimi kabisaa mama!??..