Taarifa Muhimu kwa JF!.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Heineken - nikiwa na hela
Safari - nikitaka kulewa haraka
Jack Daniels - hapa nikiwa nimepata hela ambayo siyo ya mawazo na haiko kwenye budget
Konyagi - mara mbili kwa mwezi, hasa siku nikitaka kusafisha tumbo
aisee!.. kuna bia mpya naisikia inapigwa sana promo na clouds ushawahi ijaribu?, budweiser sijui!!
 
Huyo nampata ila wakatoliki kwa wakorea wanagonga mwamba kwa kuumla huyo.
wakorea wanakula eeeh!?..ila kule bavaria mbuzi+ ni heshima zaidi ya kuku aty!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…