Taarifa Muhimu kwa JF!.

aisee!.. kuna bia mpya naisikia inapigwa sana promo na clouds ushawahi ijaribu?, budweiser sijui!!

Mimi huwa nilishajaribu pombe kibao, mpaka kufikia hiyo conclusion.

Na kila nikijaribu naona sipati taste ninayopata huko.

Mfano Safari, nina zaidi ya miaka 15 nainywa, naweza kuiacha hata mwaka lakini ntarudi tu, ni undisputed kwenye ladha.

JD ni umaskini tu lakini kwangu ni fav whiskey.

Konyagi huwa nikiinywa vizuri kesho yake tumbo linafunguka, so naitumia kama dawa.

Heineken haihitaji maelezo.
 
Heineken nilikua nakung'uta kama mwizi hivi!.
Safari ndio bia yangu ya kwanza baada ya kutoka tumia Double Punch!.
Ila mpaka nastaafu nilikua nimeweka mkataba wa kudumu na Ndovu special malt![emoji39]...
Kustaafu kugumu acha tu, hasa ukutane na kamati ya viwanda vya breweries!..
 
Wakorea na wachina naona wanaongoza kwa kula kitimoto. Wanapenda utumbo na ngozi ya kuchoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu utumbo wowote ule sili mie!.. Kuna jamaa zangu asubuhi wanatoa loki na supu ya utumbo sijui naonaje!.
Ila hiyo ngozi ya kuchoma nomaa!.. na ile layer yote duh!..
 
Halafu utumbo wowote ule sili mie!.. Kuna jamaa zangu asubuhi wanatoa loki na supu ya utumbo sijui naonaje!.
Ila hiyo ngozi ya kuchoma nomaa!.. na ile layer yote duh!..
Utumbo wa ng'ombe [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Wa kitimoto hapana aiseeee [emoji23][emoji23]
 

Mimi huwa naacha pombe kwa msimu, hasa nikitaka kupungua uzito, maana kama nakunywa siwezi kufanya mazoezi wala dayati.

Ila nikiacha kama miezi mitatu napungua kama kilo 5 - 7, then naanza tena.
 
Utumbo wa ng'ombe [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Wa kitimoto hapana aiseeee [emoji23][emoji23]
Zamani hata Supu nilikua situmii!!..
au hadi leo situmii maziwa fresh!, mtindi uwe na sukari nyingii!!.. Sasa hiyo utumbo tabu tupu!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…