Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee!.. kuna bia mpya naisikia inapigwa sana promo na clouds ushawahi ijaribu?, budweiser sijui!!
Wakorea na wachina naona wanaongoza kwa kula kitimoto. Wanapenda utumbo na ngozi ya kuchoma [emoji23][emoji23][emoji23]wakorea wanakula eeeh!?..ila kule bavaria mbuzi+ ni heshima zaidi ya kuku aty!..
Aisee! Hii sikuijuawakorea wanakula eeeh!?..ila kule bavaria mbuzi+ ni heshima zaidi ya kuku aty!..
Hapana sijastaafu. Situmii kabisani mstaafu mwenzangu wewe!?..
Heineken nilikua nakung'uta kama mwizi hivi!.Mimi huwa nilishajaribu pombe kibao, mpaka kufikia hiyo conclusion.
Na kila nikijaribu naona sipati taste ninayopata huko.
Mfano Safari, nina zaidi ya miaka 15 nainywa, naweza kuiacha hata mwaka lakini ntarudi tu, ni undisputed kwenye ladha.
JD ni umaskini tu lakini kwangu ni fav whiskey.
Konyagi huwa nikiinywa vizuri kesho yake tumbo linafunguka, so naitumia kama dawa.
Heineken haihitaji maelezo.
Halafu utumbo wowote ule sili mie!.. Kuna jamaa zangu asubuhi wanatoa loki na supu ya utumbo sijui naonaje!.Wakorea na wachina naona wanaongoza kwa kula kitimoto. Wanapenda utumbo na ngozi ya kuchoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Utumbo wa ng'ombe [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Halafu utumbo wowote ule sili mie!.. Kuna jamaa zangu asubuhi wanatoa loki na supu ya utumbo sijui naonaje!.
Ila hiyo ngozi ya kuchoma nomaa!.. na ile layer yote duh!..
Kuna jamaa mmoja ananiambia wazungu wana moyo sana wanakula mbuzi+ yani kama wanakula ndugu zao.akati huku mambo tofauti. 🙂
Heineken nilikua nakung'uta kama mwizi hivi!.
Safari ndio bia yangu ya kwanza baada ya kutoka tumia Double Punch!.
Ila mpaka nastaafu nilikua nimeweka mkataba wa kudumu na Ndovu special malt![emoji39]...
Kustaafu kugumu acha tu, hasa ukutane na kamati ya viwanda vya breweries!..
Ahahahahah si nae anakunywatena ukiwa umelewa, unageuka tuu!..[emoji39] Ndo mana namchukia Shunie ona sasa!..
Zamani hata Supu nilikua situmii!!..Utumbo wa ng'ombe [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Wa kitimoto hapana aiseeee [emoji23][emoji23]
Mi leo silioni jukwaa la wakubwapitia na JLW kupata code ya kiwanja leo wanapojaa..
Mi napenda tunaisha haraka nakunywa kengine tena [emoji23]Serengeti Lite nainywa siku ambayo sitaki kunywa pombe.
MmmmjjjPombe ya starehe mwanaume ndovu!..sasa unakunywa lite kama Mama Sabrina mkuu!...Unless