Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Haki gani wewe unaitaka?Yani hilo likuu la polisi nilipuuzi kabisa liloshindwa kusimamia haki aisee nikiliona naboreka nanuna nacheka..
Mkuu haki ninayoitaka ni kusimamia uchaguzi kwa huru na haki bila maelezo toka juu ya kupenyeza mabox feki ya kura.Haki gani wewe unaitaka?
Mkuu haki ninayoitaka ni kusimamia uchaguzi kwa huru na haki bila maelezo toka juu ya kupenyeza mabox feki ya kura.
Kama huu uchaguzi umeisha na wewe ni miongoni mwa watu wanao ona ulikuwa sawa, basi tafadhari nenda upimwe akili mapema kabla hujaanza kuvua nguo mitaani..
Ni jambo jema!Wakuu hao wa Polisi Watakutana kwenye Kikao Kazi cha Ujirani Mwema baina ya Tanzania & Msumbiji
Kikao hicho muhimu kitafanyika Mkoani Mtwara.
View attachment 1630478
View attachment 1630481
Haki gani wewe
Huenda wewe ni cheti feki au ulikua na kidili chako kula hela halmashauri kidili kikazimwa kwa ujio wa jpm ndio una chuki na mamlaka.😆😆Yani hilo likuu la polisi nilipuuzi kabisa liloshindwa kusimamia haki aisee nikiliona naboreka nanuna nacheka..
Haki ya kuishiHaki gani wewe unaitaka?
Vizuri sana, washilikiane na kushirikishana wawapige kwa pamoja yale magaidiWakuu hao wa Polisi Watakutana kwenye Kikao Kazi cha Ujirani Mwema baina ya Tanzania & Msumbiji
Kikao hicho muhimu kitafanyika Mkoani Mtwara.
View attachment 1630478
View attachment 1630481