Taarifa muhimu kwa Umma, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro atakutana na mwenzake wa Msumbiji leo Mkoani Mtwara

Taarifa muhimu kwa Umma, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro atakutana na mwenzake wa Msumbiji leo Mkoani Mtwara

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wakuu hao wa Polisi Watakutana kwenye Kikao Kazi cha Ujirani Mwema baina ya Tanzania & Msumbiji

Kikao hicho muhimu kitafanyika Mkoani Mtwara.

FB_IMG_16058534588169894.jpg

images (22).jpeg
 
Haki gani wewe unaitaka?
Mkuu haki ninayoitaka ni kusimamia uchaguzi kwa huru na haki bila maelezo toka juu ya kupenyeza mabox feki ya kura.

Kama huu uchaguzi umeisha na wewe ni miongoni mwa watu wanao ona ulikuwa sawa, basi tafadhari nenda upimwe akili mapema kabla hujaanza kuvua nguo mitaani..
 
Mbinu za medani: Aida Khenan, mbunge wa Nkasi ndiyo awe mwenyekiti wa CHADEMA
 
Kwa nini kikao hicho hakikufanyikia nchini msumbiji ?............ 😱 😛😱😛
 
Halafu utafaidika na nini?nenda kazini ukafanye kazi maana naona kichwa kinaingiza upepo badala ya akili!
 
Kamanda Sirro & Amiri Jeshi Mkuu wa sasa (Raisi Magufuli) wajitahidi wawatokomeza hao magaidi, wasipowamaliza huko mbeleni (future) watarudi/au kusogea/au kuingia Tanzania

Boko Haram walianzaga hivyo hivyo, walikuwa Nigeria pekee, lakini leo hii wame-expand na kuwa katika nchi kama 3 (Nigeria, Chad, & Cameroon)

Wanaweza wakwaitwa Mtwara then waka expand kuelekea wilaya za Tunduru & Namtumbo, pia wakawa wana expand kuelekea mkoa wa Lindi, then mkoa wa Pwani (wilaya za Rufiji, Kibiti, & Mkuranga)
 
katika hili niko pamoja na sirro

ukweli ni kwamba hili janga la msumbiji ni tishio pia kwa tanzania.Msumbiji waruhusu vikosi vya Tanzania to operate ndani ya msumbiji ili kuwaondoa hao magaidi kama ilivyokuwa KIBITI.....
Hata kwa kuchangishana hela tuwe tayari kuhakikisha vikosi vyetu vinakuwa well equipped
Pia Military intelligence ni muhimu sana ikiwa usalama wa Taifa umeshindwa kutoa data za uhakika na sisi wanainchi yatupasa kutoa taarifa ya kila mwenendo tunaoutilia shaka.

Ni kweli tuna vikosi vizuri ila bila sisi wanainchi tunayoyapita hayo mapori kila wakati kusaidia kutoa taarifa kazi itakuwa ngumu sana
 
Back
Top Bottom