TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali.

Katika ziara hii ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla kwa Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, Makalla amemuomba Nabii Mkuu ushirikiano pamoja na kuliombea Taifa la Tanzania ili liendelee kuwa na amani na utulivu.

Kwa upande wake, Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, kwa kumtembelea, kujitambulisha na kuomba ushirikiano. Ameahidi kumpatia ushirikiano wa kutosha katika kuwatumikia wananchi wa mkoa wa Arusha, akiendelea kuhubiri kuhusu amani, upendo na mshikamano wa jamii, hasa wakati huu ambapo Taifa linaendelea na kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie ameendelea kusisitiza kuwa amani ni kitu cha muhimu sana katika maendeleo ya taifa letu, na kuwataka watu kuwa watulivu na kuheshimu uongozi uliowekwa.

Pia, Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie alipata nafasi ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), pamoja na wasaidizi wake wote, ili Mungu aendelee kuwapa baraka, hekima, maarifa na utashi zaidi katika kuwaletea Watanzania maendeleo.

Vilevile, Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie alimuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, baraka za Mungu ziwe naye, na pia Mungu azidi kumpa hekima, maarifa na utashi zaidi katika kuongoza vyema na kuleta maendeleo makubwa katika mkoa wa Arusha.
 
Attachments

  • Screenshot_2025_0902_103743.jpg
    Screenshot_2025_0902_103743.jpg
    164 KB · Views: 40

So what?
 
Alitakiwa akatembelee barabara mbovu kwanza.
Kama hao manabii na mitume wangekuwa na msaada wowote Africa tungekuwa bora kuliko Japan, China, Vietnam, Thailand au Singapore.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali.
Hapo CPA Makalla, pia atakuwa kakabidhiwa gari lake la Landover !.
P
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali.

Katika ziara hii ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla kwa Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, Makalla amemuomba Nabii Mkuu ushirikiano pamoja na kuliombea Taifa la Tanzania ili liendelee kuwa na amani na utulivu.

Kwa upande wake, Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, kwa kumtembelea, kujitambulisha na kuomba ushirikiano. Ameahidi kumpatia ushirikiano wa kutosha katika kuwatumikia wananchi wa mkoa wa Arusha, akiendelea kuhubiri kuhusu amani, upendo na mshikamano wa jamii, hasa wakati huu ambapo Taifa linaendelea na kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie ameendelea kusisitiza kuwa amani ni kitu cha muhimu sana katika maendeleo ya taifa letu, na kuwataka watu kuwa watulivu na kuheshimu uongozi uliowekwa.

Pia, Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie alipata nafasi ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), pamoja na wasaidizi wake wote, ili Mungu aendelee kuwapa baraka, hekima, maarifa na utashi zaidi katika kuwaletea Watanzania maendeleo.

Vilevile, Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie alimuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, baraka za Mungu ziwe naye, na pia Mungu azidi kumpa hekima, maarifa na utashi zaidi katika kuongoza vyema na kuleta maendeleo makubwa katika mkoa wa Arusha.
Sisi waislam mtu kumuita nabii sijui mtume ambae hajaitwa na Muumba ni dhambi kubwa. Wakiristo jee?
 
Uislamu na Ukristo ni dini mbili tofauti kabisa, ndio maana kwa waislamu kula kitimoto ni dhambi wakati kwa Wakristo sio, kwa Waislamu kuoa wake wanne ni ruhusa wakati kwa Wakristo ni mke mmoja tu.
 
Msanii kwenye moja na mbili na Dalali mwandamizi.
 
Uislamu na Ukristo ni dini mbili tofauti kabisa, ndio maana kwa waislamu kula kitimoto ni dhambi wakati kwa Wakristo sio, kwa Waislamu kuoa wake wanne ni ruhusa wakati kwa Wakristo ni mke mmoja tu.
Kumbukumbu la Torati (Levitiko 11:7-8):

"Nguruwe, ingawa ina miguu minne, siyo mnyama wa kutafuna, ni chakula kisichokubaliwa kwenu. Nyama zao msizile, na miili yao msiziguse, mnywe msafi."

Kumbukumbu la Torati (Kumbukumbu la Torati / Deuteronomio 14:8):

"Nguruwe hula chakula chenye sumu lakini hufuata siyo chakula chenye sumu; msile nyama yake na msiguse mayowe."

WAKIRISTO WAMEKATAZWA KULA NGURUWE, WANAOJUA HAWALI
 
Kumbukumbu la Torati (Levitiko 11:7-8):

Kumbukumbu la Torati (Kumbukumbu la Torati / Deuteronomio 14:8):

WAKIRISTO WAMEKATAZWA KULA NGURUWE, WANAOJUA HAWALI
Kumbukumbu la Torati ni kitabu cha Wayahudi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali.

Katika ziara hii ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla kwa Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, Makalla amemuomba Nabii Mkuu ushirikiano pamoja na kuliombea Taifa la Tanzania ili liendelee kuwa na amani na utulivu.

Kwa upande wake, Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, kwa kumtembelea, kujitambulisha na kuomba ushirikiano. Ameahidi kumpatia ushirikiano wa kutosha katika kuwatumikia wananchi wa mkoa wa Arusha, akiendelea kuhubiri kuhusu amani, upendo na mshikamano wa jamii, hasa wakati huu ambapo Taifa linaendelea na kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie ameendelea kusisitiza kuwa amani ni kitu cha muhimu sana katika maendeleo ya taifa letu, na kuwataka watu kuwa watulivu na kuheshimu uongozi uliowekwa.

Pia, Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie alipata nafasi ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), pamoja na wasaidizi wake wote, ili Mungu aendelee kuwapa baraka, hekima, maarifa na utashi zaidi katika kuwaletea Watanzania maendeleo.

Vilevile, Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie alimuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, baraka za Mungu ziwe naye, na pia Mungu azidi kumpa hekima, maarifa na utashi zaidi katika kuongoza vyema na kuleta maendeleo makubwa katika mkoa wa Arusha.
Nabii mkuu ndiyo kitu gani?
 
Back
Top Bottom