Taarifa Muhimu: Orodha ya watu walionikera sana 2017

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau

Tunakaribia kufunga mwaka wa 2017 na tunajiandaa kuukaribisha mwaka wa 2018.

Naomba niwasilishe orodha ya watu walionikera sana mwaka 2017. Niseme tu kuwa watu hao siwachukii ila wamenikera sana kwa tabia zao. Ingalikuwa uwezo wangu watu hawa ningewapa adhabu ya kukaa kizuizini angalao miaka mitatu tu. Kwa bahati mbaya sijabahatika kuwa na hayo madaraka kwa sasa.

Naomba watu hao kwa mwaka 2018 wajirekebishe tabia kwa kuwa wazalendo.

1. Yeriko Nyerere
2. Zacharia Kakobe
3. Tundu Lisu
4. Barafu
5. BAK
 
Wamekuelewa nadhani. Subiri waje nawe uliowakera, itabidi uvumilie tu mkuu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wadau
Tunakaribia kufunga mwaka wa 2017 na tunajiandaa kuukaribisha mwaka wa 2018.
Naomba niwasilishe orodha ya watu walionikera sana mwaka 2017. Niseme tu kuwa watu hao siwachukii ila wamenikera sana kwa tabia zao. Naomba kwa mwaka 2018 wajirekebishe
1. Yeriko Nyerere
2. Zacharia Kakobe
3.
We mwenyewe unakera kimbwa na mahadithi yako ya CCM.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wadau
Tunakaribia kufunga mwaka wa 2017 na tunajiandaa kuukaribisha mwaka wa 2018.
Naomba niwasilishe orodha ya watu walionikera sana mwaka 2017. Niseme tu kuwa watu hao siwachukii ila wamenikera sana kwa tabia zao. Ingalikuwa uwezo wangu watu hawa ningewapa adhabu ya kukaa kizuizini angalao miaka mitatu tu. Kwa bahati mbaya sijabahatika kuwa na hayo madaraka kwa sasa. Naomba watu hao kwa mwaka 2018 wajirekebishe tabia kwa kuwa wazalendo.
1. Yeriko Nyerere
2. Zacharia Kakobe
3. Tundu Lisu
4. Barafu
5. BAK
Uzalendo ni kuisifia CCM ukiikosoa sio mzalendo??
 
si bure
 
Hahahahaha I am very proud to be included in the same list as Lissu the Great, he is my Idol. I respect that fella so much. He is the REAL DEAL.

Wadau
Tunakaribia kufunga mwaka wa 2017 na tunajiandaa kuukaribisha mwaka wa 2018.
Naomba niwasilishe orodha ya watu walionikera sana mwaka 2017. Niseme tu kuwa watu hao siwachukii ila wamenikera sana kwa tabia zao. Ingalikuwa uwezo wangu watu hawa ningewapa adhabu ya kukaa kizuizini angalao miaka mitatu tu. Kwa bahati mbaya sijabahatika kuwa na hayo madaraka kwa sasa. Naomba watu hao kwa mwaka 2018 wajirekebishe tabia kwa kuwa wazalendo.
1. Yeriko Nyerere
2. Zacharia Kakobe
3. Tundu Lisu
4. Barafu
5. BAK
 
Wadau
Tunakaribia kufunga mwaka wa 2017 na tunajiandaa kuukaribisha mwaka wa 2018.
Naomba niwasilishe orodha ya watu walionikera sana mwaka 2017. Niseme tu kuwa watu hao siwachukii ila wamenikera sana kwa tabia zao. Ingalikuwa uwezo wangu watu hawa ningewapa adhabu ya kukaa kizuizini angalao miaka mitatu tu. Kwa bahati mbaya sijabahatika kuwa na hayo madaraka kwa sasa. Naomba watu hao kwa mwaka 2018 wajirekebishe tabia kwa kuwa wazalendo.
1. Yeriko Nyerere
2. Zacharia Kakobe
3. Tundu Lisu
4. Barafu
5. BAK
kokopelligrndcanyon.jpg
 
Umegusa moto
 
Back
Top Bottom