Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau
Tunakaribia kufunga mwaka wa 2017 na tunajiandaa kuukaribisha mwaka wa 2018.
Naomba niwasilishe orodha ya watu walionikera sana mwaka 2017. Niseme tu kuwa watu hao siwachukii ila wamenikera sana kwa tabia zao. Ingalikuwa uwezo wangu watu hawa ningewapa adhabu ya kukaa kizuizini angalao miaka mitatu tu. Kwa bahati mbaya sijabahatika kuwa na hayo madaraka kwa sasa.
Naomba watu hao kwa mwaka 2018 wajirekebishe tabia kwa kuwa wazalendo.
1. Yeriko Nyerere
2. Zacharia Kakobe
3. Tundu Lisu
4. Barafu
5. BAK