Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,158
- 2,273
Kwa kweli ni Kinara kama ameweza kutoa million zote hizo
Watoto wa maskini hawezi kuonga na wengi ndio wanakua wana qualifications zote za kushinda tatizo pesa
Kimbilio lao lilikuwa upinzani huko walishinda kirahisi tatizo wakawa wasaliti