Kwa kweli ni Kinara kama ameweza kutoa million zote hizo
Watoto wa maskini hawezi kuonga na wengi ndio wanakua wana qualifications zote za kushinda tatizo pesa
Biteko brothersHuko Busanda Geita ndio funga kazi, mshindi inasemekana alilipia gharama zote za mkutano ikiwa ni pamoja na kila mjumbe kushikishwa hela ndefu wazi wazi huku TAKUKURU wakiwa wapoleee. Hilo Jimbo mwaka huu CHADEMA wakijipanga linaweza kwenda upinzani, ngoja tusubiri vikao vya juu.
Ni matokeo ya kuwapa wanasiasa pesa nyingi bila sababu. Hawa ni watu ambao wamemaliza muda wao na kupewa milioni 250 kwa utumishi wa miaka 5 tu! Akiungansha na saving yake na mikopo ya upendeleo, ni biashara inayomsukuma kuingiza rushwa za aina hii.Sasa mtu anatoa rushwa hivyo, akipata ubunge hizo hela zake atazirudisha vipi?
Bungeni kuna biashara gani?
Ni kweli! Umaskini huu, nafasi ktk siasa zimefanywa kuwa ni ajira. Hata ubunge ni ajira. Mtu anaitwa Mwenyekiti wa chama halafu hana ajira yoyote! Iwe ya binafsi au kwingine. Hata genge hana! Utamkuta anategemea kufaidi nafasi yake.Ndio maana kumbe democracy ikiruhusiwa Sana Kuna watu waelewa mdogo wataharibu kwa mtindo huo, na hata hao makatibu ndo walio organize rushwa
Yani Sasa hivi watu hawawazi kufanya kazi, au biashara wote wanakimbilia ubunge maana Kuna marupurupu makubwa.Ni kweli! Umaskini huu, nafasi ktk siasa zimefanywa kuwa ni ajira. Hata ubunge ni ajira. Mtu anaitwa Mwenyekiti wa chama halafu hana ajira yoyote! Iwe ya binafsi au kwingine. Hata genge hana! Utamkuta anategemea kufaidi nafasi yake.
Hivi huyo aliyehamia CCM kwa nini hakupewa hata kuwa naibu waziri kama akina Mwita na Molel. Wale waliohamia CCM wakiwa hawana matumizi serikalini, wapotezeeni tu! Hawatawasaidia kwa lolote. Ataishi bungeni miaka 5 na jimbo litabaki kama lilivyokuwa!Umeitaja Ukerewe na wakati huu niko huku. Hapa Ukerewe siyo siri. Mambo yako wazi kabisa. Kilichofanyika na kinachoeleweka kwa watu wa hapa ni kwamba. Mbunge aliyehamia CCM hakubaliki. Kura za maoni amepita na haijulikani jina litarudi au hapana. Lakini kupita kwake ni rushwa kwa kusaidiwa na viongopzi wa CCM wa Wilaya; Mkiti, Katibu, PCCB na usalama wa Wilaya, wote walipigwa milioni 5 kila mtu.
Siku ya uchaguzi kila mjumbe akarushiwa 70 kwenye simu yake. Niambie mtu wa aina hiyo au mfumo wa aina hiyo utatuletea nini. Yaonekana ni nchi nzima ndo mfumo uliotumika.
Kwa kukusaidia tu ni kwamba ulichokiandika ni uongo. Soma hapaUliponishambulia nilijiuliza kama kweli naonea watu maana kipindi hiki ni cha kujenga makundi. Nimefunyua tena kujua huyo unayemtetea ana nguvu gani. Taarifa niliyopewa ni hii; nguvu pekee anayoitegemea ni kulazimisha matokeo. Ni Mbunge ambaye anapopewa kura, huwa anahamia Sengerema kwa maisha yake ya kila siku. Hakuna chochote anachokiita ni mali yake ndani ya Ukerewe. Wapiga kura (siyo wajumbe) Hawana hamu naye! Mbaya zaidi ana maadui aliowapata baada ya kuhama chama. Nguvu ya ziada nje ya taratibu inatakiwa ili aweze kupitishwa kuwa mbunge.
Kwa uongozi hadi leo taarifa zinatufikia kwamba bado wanapanga nani agombee udiwani wapi na baadhi ya wajumbe wanaitwa kurekebisha maoni yao. Upo? Hiyo ndo CCM.
Aligawa rushwa au hakugawa? Jana CHADEMA leo CCM, kesho sijui wapi?Kwa kukusaidia tu ni kwamba ulichokiandika ni uongo. Soma hapa
1. Joseph Mkundi anaishi katika kijiji cha Bukiko kilichopo kisiwani Ukara, ndipo yalipo makazi yake
2. Joseph Mkundi ni mbunge ambaye ametumia zaidi ya asilimia 90 ya kipindi chake cha ubunge (excluding kipindi cha vikao vya bunge) akiwa anaishi Kijijini kwao Bukiko
3. Ni kweli baba mzazi wa Mh. Mkundi (ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa Ukerewe miaka ya nyuma) makazi yake ni Sengerema. Hivyo si ajabu kwa Mh. Mkundi kumtembelea mzazi wake.
4. Mimi Mavela ni mkazi wa kijiji cha Kome kilichopo kata ya Bukiko, hivyo Mkundi ni jirani yangu in other words. Hivyo andika vitu ulivyovifanyia a thorough research unless you just want to tarnish the image ya kipenzi chetu wana Ukerewe.
Ahsante kwa kunisoma
Kuna uwezekano Karibu trillion 1Umeitaja Ukerewe na wakati huu niko huku. Hapa Ukerewe siyo siri. Mambo yako wazi kabisa. Kilichofanyika na kinachoeleweka kwa watu wa hapa ni kwamba. Mbunge aliyehamia CCM hakubaliki. Kura za maoni amepita na haijulikani jina litarudi au hapana. Lakini kupita kwake ni rushwa kwa kusaidiwa na viongopzi wa CCM wa Wilaya; Mkiti, Katibu, PCCB na usalama wa Wilaya, wote walipigwa milioni 5 kila mtu.
Siku ya uchaguzi kila mjumbe akarushiwa 70 kwenye simu yake. Niambie mtu wa aina hiyo au mfumo wa aina hiyo utatuletea nini. Yaonekana ni nchi nzima ndo mfumo uliotumika.
We need a useful most electable person. Majimbo yajihadhari na watu kama hawa ambao kila siku wanatangatanga vyama. Unahama CHADEMA ili iwe nini? Wanatafuta ajira tu. Hadithi ya baba yake yuko hivi, ooh ni jirani yangu, ooh, bhla! bhla! Nincompoop!Kwa kukusaidia tu ni kwamba ulichokiandika ni uongo. Soma hapa
1. Joseph Mkundi anaishi katika kijiji cha Bukiko kilichopo kisiwani Ukara, ndipo yalipo makazi yake
2. Joseph Mkundi ni mbunge ambaye ametumia zaidi ya asilimia 90 ya kipindi chake cha ubunge (excluding kipindi cha vikao vya bunge) akiwa anaishi Kijijini kwao Bukiko
3. Ni kweli baba mzazi wa Mh. Mkundi (ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa Ukerewe miaka ya nyuma) makazi yake ni Sengerema. Hivyo si ajabu kwa Mh. Mkundi kumtembelea mzazi wake.
4. Mimi Mavela ni mkazi wa kijiji cha Kome kilichopo kata ya Bukiko, hivyo Mkundi ni jirani yangu in other words. Hivyo andika vitu ulivyovifanyia a thorough research unless you just want to tarnish the image ya kipenzi chetu wana Ukerewe.
Ahsante kwa kunisoma
Hakuna alichomsingizia.Unakifahamu unachokiongea ndugu? Au unataka kumharibia Mheshimiwa Mkundi?
Admin shughulikeni na huyu kaniita nincompoop!We need a useful most electable person. Majimbo yajihadhari na watu kama hawa ambao kila siku wanatangatanga vyama. Unahama CHADEMA ili iwe nini? Wanatafuta ajira tu. Hadithi ya baba yake yuko hivi, ooh ni jirani yangu, ooh, bhla! bhla! Nincompoop!
Rushwa ihalalishwe tu maana ishashindikana