Taarifa; Nipo njiani NAELEKEA MTWARA MY WIFE Arabela.....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
HABARI ZENU WOTE.

Bila kupoteza muda napenda kumuaga my wife Arabela kuwa nasafiri kidogo naelekea ntwara,kuna shughuli ya kufanya huko.Ntarudi baada ya siku tatu.

Lakini ntakapo rudi ntatoa adhabu kwa yale majina ulonipa kuwa ndio wanaokusumbua sana kila siku iendayo kwa Mungu ntashughulika nao ipasavyo,nimeaaacha kikundi kikazi kinafatilia Taarifa zao.

Hawa wawili NITONYE NA ERICKB52 kaeni mkao wa kula,siendi ntwara kupaka rangi upepo naenda kwa shughuli mimi siishi kwa MIUJIZA NAISHI KWA SHUGHULI....

LAZIMA MUUMUKE NIKIRUDI.

kopi:My Arabela.
 
sasa nani unamuachia akulindie my wife wako...?
 
Vipi jicho lako limepona au ndio unaenda kuongeza nguvu?
 
Safari njema shemeji, dada hajambo lakini?
 
sasa nani unamuachia akulindie my wife wako...?
mi mkeo umeshindwa kunichunga sijalala nyumbani week ...kazi ya kuchunga mke wa mtu utaiwezea wapi na kwako pamekushinda hubby?..leo nitafata nguo zingine... mwambie dada awapikie watoto kande leo...
 
mi mkeo umeshindwa kunichunga sijalala nyumbani week ...kazi ya kuchunga mke wa mtu utaiwezea wapi na kwako pamekushinda hubby?..leo nitafata nguo zingine... mwambie dada awapikie watoto kande leo...

wife najua uko salama....
 
Nasikia serikali sikivu imekutuma kwenda kulileta bomba la gesi jijini Dar??
 
Last edited by a moderator:
Mkwara wako haumalizi penzi langu kwa Arabela
Kwanza mi ndio natambulika na wazee. Babu Dark City anajua hilo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…