Taarifa; Nipo njiani NAELEKEA MTWARA MY WIFE Arabela.....

Taarifa; Nipo njiani NAELEKEA MTWARA MY WIFE Arabela.....

mi mkeo umeshindwa kunichunga sijalala nyumbani week ...kazi ya kuchunga mke wa mtu utaiwezea wapi na kwako pamekushinda hubby?..leo nitafata nguo zingine... mwambie dada awapikie watoto kande leo...

smile mbona wamuumbua huyu
 
Shem hebu nikumbushe, Kwa Baba Ubaya ndio palikuwa wapi?
.

Ni kule kule Sahare, kama unakumbuka kuna mahali tulipark na yule dereva aliyetupokea kumsubiri Babu DC siku ile tumefika TA.
 
Ni kule kule Sahare, kama unakumbuka kuna mahali tulipark na yule dereva aliyetupokea kumsubiri Babu DC siku ile tumefika TA.

Ok nishapakumbuka.
Dah, kuna binadamu mna kumbukumbu.
Mie hata moja sina.
 
Ok nishapakumbuka.
Dah, kuna binadamu mna kumbukumbu.
Mie hata moja sina.

Shem mie TA mwenyeji na maeneo ya kule nilikuwa napita sana miaka fulani ya 1999-2000 hapo...usiniulize nilikuwa napita kwenda wapi hahahah
 
kuongeza nguvu?
ungesema kabisa usiporudi nani akubadili kwa mkeo.
 
Back
Top Bottom