zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
- Thread starter
-
- #21
mkubwa uoga huo... ngoja tushikilie kwa muda...!
mi mkeo umeshindwa kunichunga sijalala nyumbani week ...kazi ya kuchunga mke wa mtu utaiwezea wapi na kwako pamekushinda hubby?..leo nitafata nguo zingine... mwambie dada awapikie watoto kande leo...
kama unaona uoga nenda tu mi sitakuwepo....kama cha mtu kinaliwa basi kale
namshangaa huyu mume wangu ujue ...yaani hajui nilipo mi mkewe hapa anaomba kuchunga mke wako? muulize mkeo yupo wapi kwanzasmile mbona wamuumbua huyu
Shem hebu nikumbushe, Kwa Baba Ubaya ndio palikuwa wapi?
.
namshangaa huyu mume wangu ujue ...yaani hajui nilipo mi mkewe hapa anaomba kuchunga mke wako? muulize mkeo yupo wapi kwanza
Ni kule kule Sahare, kama unakumbuka kuna mahali tulipark na yule dereva aliyetupokea kumsubiri Babu DC siku ile tumefika TA.
kabangahivi mmeo ni nani vile?
hata ya kuosha k na ugoroOk nishapakumbuka.
Dah, kuna binadamu mna kumbukumbu.
Mie hata moja sina.
hata ya kuosha k na ugoro
kabanga
Ok nishapakumbuka.
Dah, kuna binadamu mna kumbukumbu.
Mie hata moja sina.
mi yangu safi ...nalala hukoLeo nimeipata mpya.
Ushawah ona k inaoshwa na Tindikali?
Yani inakuwa nzuri hyo.
Kaijaribu shosti.
hivi hatusafiri tena jamani? nimewamiss hadi tumbo linaumaShem mie TA mwenyeji na maeneo ya kule nilikuwa napita sana miaka fulani ya 1999-2000 hapo...usiniulize nilikuwa napita kwenda wapi hahahah