Taarifa sherehe za kufunga mwaka 2024

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali.

Kama utakuwa free unaweza ukafanya hivi pia nyumbani kwako

Ahsante
 
Daaah kuna sisi hatuna mwaka mpya wala xmass an tupo tupo..
Kazi kazi
Show show.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…