Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

Intelligence Officer Challenges Bush Administration on 'Why They Hate Us'
Gary Thomas
Washington


10 Jun 2003: (VOANews) In the aftermath of the attacks of September 11, 2001, one question has been heard repeatedly among Americans: why do they hate us so? One U.S. intelligence official has what he thinks are some answers to that question, and has written a book about it.

In reply to the question, "Why do Osama bin Laden and his followers hate Americans," the answer from U.S. President George W. Bush has been clear-cut and unequivocal: "They hate us because we love freedom. They hate us because we love and hold dear the idea that anybody can worship an almighty God in any way he or she sees fit. They hate the idea of a free press, free political discourse. That is what they hate. And so long as we love our freedoms, they will try to harm our country."

But in a new book entitled Through Our Enemies' Eyes, one senior American intelligence officer, simply dubbed "Anonymous," sharply disagrees with that view.

"There are a lot of people who say he hates our freedoms, as you said, or hates our liberties, and hates us for what we are, rather than what we do," said the author. "That is a very common piece of analysis, and I think it is entirely wrong. Bin Laden has resonance in the Muslim world because he has focused his dislike for the things we do, not what we are."

The book was cleared for publication by the Central Intelligence Agency, and the author remains anonymous to the reading public. However, he is a senior intelligence officer of more than 20 years experience, much of it in Afghanistan and South Asia.

Anonymous agreed to be interviewed by VOA and the interview request was cleared by U.S. intelligence officials. Under the ground rules, he remains unnamed. Anonymous says that, contrary to the portrait of Osama bin Laden as simply a crazed terrorist, the al-Qaida leader is a complex figure.

"I believe that the genius of bin Laden lies in the fact that he has not resorted to saying 'we hate America's freedom and we have to attack them.' Or 'we hate America because they let women go to work and go to school and we need to attack them for that,'" the author explained. "He has not identified our culture, our society, as the main enemy or as the main reason to fight us. What he has identified are specific U.S. foreign policy actions and activities that have a resonance among Muslims all over the world."



Anonymous said Osama bin Laden has a clear political agenda. He says that agenda includes reducing U.S. support for Israel, a withdrawal of all American troops from the Arabian Peninsula, an end to what Osama bin Laden labeled as aggression against Iraq, and a halt to what Osama bin Laden viewed as Western exploitation of oil and natural gas resources of Muslim countries.

"It is a very clear policy," said the unnamed author. "None of it has to do with ephemeral things or slogans. It has to do with very clear-cut, concrete things. And I think that is why he is so effective in the Muslim world. He has picked a number of items that, whether you are, however you term it a moderate, a conservative, or a liberal Muslim, there is a certain amount of sympathy for the goals bin Laden has enunciated."

Anonymous said al-Qaida has taken some significant damage from Western anti-terrorist efforts. But, he adds, Osama bin Laden's strategy is to spur on attacks by individual groups, rather than leading a coordinated terrorist effort.

"His [bin Laden's] goal all along is to instigate other Muslims to attack the United States," said Anonymous. "He would give them assistance, he would give them training, he would give them some money perhaps. But the best of all possible worlds for him would be for Muslim groups around the world to attack us with no contact with him."

Anonymous said his views are controversial among his colleagues in the U.S. intelligence community. But, he said, understanding Osama bin Laden's motivation is key to defeating him.

"Understanding does not necessarily, and in this case does not, connote sympathy. It simply is an effort to portray the enemy as he is, and therefore give our country the best chance possible to counter and defeat it," he said.

The senior U.S. intelligence officer said that while American politicians refuse to characterize the conflict as a religious war, that is certainly the way Osama bin Laden and his followers look at it.
 

Huo ndio uwongo mnaouzulia uIslam kila siku, nionyeshe ni wapi uIslam unapokunyima freedom?

Dada yako wapi alikatazwa na uIslam kukata mitaani?

Wee huo ni upumbavu, wa kuongelea Qur'an bila kui-quote, onyesha ni wapi kwenye Qur'an imefundisha unayoyasema! Onyesha na kama hukuonyesha ujuwe unazuwa mambo kutoka kichwani mwako.

Nangoja majibu yako nikuonyeshe biblia inasemaje kuhusu wanawake.
 

Ah.. simple, Nafikiri walikuwa wanaandamana ili watokee kwenye TV tu!

Bush hata akitaka kutembelea Iran atakaribishwa vizuri tu! Si mliona kule Falme za kiarabu walivyompa good time.
 
Mkuu YN..kapriensi yangu hiyo achana nayo na wewe unayo ya kwako huko uliko...na uzuri humu hatujuani..so leave that aside.. Kinachotuumiza wengi na huu the so called udini..tunajaribu kujenga hoja kwa emotions kwa kuona wengine wapumbavu..as Mungwana Zomba has repeteadly displayed here kwamba wengi tusiokubaliana naye ni wajinga. I respectfully disagree with him, but I respect his right to speak his mind.

Mkuu hakika nimeeleza kwamba TZ hatujafika huko wengine waliko, Ingawa watu ndo wanataka kutupeleka. Ukisema kwamba N Nigeria ni ukabila sio udini..mkuu..face reality, hata kama unanibishia hapa, I know...from your arguments humu JF naamini wewe ni mtu makini tena mwenye exposure kwa hiyo you know what Iam talking. Tanzania tumeweza kwa sababu, kifupi waasisi wa taifa letu hawakuwa wabinafsi na wachoyo, ingekuwa ndo zama hizi I tell you Tanzania tungekuwa kwenye chapter nyingine kwenye dini..Hiyo mifano huko Sudan wengi tummeiishi na kuyaona, ndo maana wengine wanafika point ya kutukana humu kwa sababu ya hizi injustice.

Mkuu hata kwenye Ukristo kuna wahafidhina, sema wao wanavyoendesha mambo yao ni tofauti sana na waislamu. Hata hapo USA and you fully know this, their differences (hawa fundamentalist wa kiislamu na kikristu) inakuja namna wanavyo-advance agenda yao..mfano US..conservative wanahangaika na BALLOT, wanalobby majaji wanaoteuliwa..etc..you know all these. in 1960S Conservative US walikuwa hawana nafasi..what did they do? they started building movements and guess what..they are likely to rule USA for the foreasiable future! Now wana majaji/media inayoadvance agenda zao....etc...

Hitimisho, mkuu, Nasema tena, uwe ukristu, uislamu, uheshimu haki za watu siyo kuimpose values zao kwa wengine. Sijatetea ukristu..ukichemsha na wenyewe ntasema hapa..as I have never condoned Xnity in its role in slave trade!

Zomba uache emotions, hapa ni JF, unaweza kuita watu wajinga au wapumbavu.. lakini watu we speak our minds without name calling! I am ready and willing, to praise and appreciate all good teachings in Islam and Xnity, but I will never condone something I dont agree with simply because natetea dini. Kifupi Iam not and I will never be a hostage of any religious belief! RELIGION SHOULD CONFORM TO MY STANDARDS AND NOT ME CONFORMING TO ITS STANDARDS!
 
Intersted Observer,

Nakubaliana sana na maelezo yako hapo juu, ambayo yanazungumzia tu sababu za Marekani bila kutazama sababu zetu sisi watu tunaopinga...Hakuna mtu anayepinga sababu za Marekani kama walivyoziwakilisha isipokuwa leo hii wanachokifanya ni nje wa sababu hizo...nitarudia kusema:-

1. Ikiwa Marekani ilishambulia Afghanstan kwa sababu ya Mullah Omar na Ossama hawa watu leo hii hawapo Afghanstan wapo kwa marafiki zao Pakistan, huko milimani walikokimbilia Je, kwa nini msiwafuate huko na imekuwaje Taliban leo wawe adui zenu hali Mullah Omar kakimbia nchi na as a fact sii M afghanstan!...(mfano mdogo) sawa na fisadi letu Lowassa, haina maana kila mwana CCM aliunga mkono wizi na ufisadi wa Lowassa kwa hiyo wauawe ama wasulubiwe kila mwenye kadi ya CCM..kila mwenye kadi apitie mateso kutoa info za Taliban.. Ujinga huu, na kwa nini bado wanataka ku dictate maisha ya Wafghanstan hali viongozi wengi ndani ya Demokratic wanasema kuwa mtu anayetafutwa ni Ossama kwa nini Bush ameacha kumsaka Ossam leo hii anajishirikisha na kuweka makoloni nchi hizo?... Hata Obama sifa kubwa anayopata toka kwa wananchi wenyewe ni kuwa tofauti na Bush na pengine kuwakilisha zaidi matakwa ya wananchi wake kuhusu swala la foreign Policy na hasa Iraq na Afghanstan.

2. Ikiwa swala lilikuwa kumwondoa Saadam, tayari kisha ondoka na kauawa tena na waislaam wenyewe pamoja na kwamba palikuwa na utata, then kazi yenu imekwisha ondokeni, hawataki leo hii wamejenga base kubwa kuliko hata ile ya Ujarumani.

3. Hawa wabaya wote wanatokana na Foreign policy zenu mnapoandaa viongozi ili kushikiria maslahi yenu. Hawa watu wanapowageukeni mnaanza kusulubu wananchi wote. Without Amerika Saadam asingekuwa kiongozi, without Amerika, Taliban na kina Mullah wasingeongoza nchi hiyo...Sasa nani mkosa hapa kweli?

4. Leo hii wamezua tauifa jingine la Kosovo, na kumweka mtawala wao (hawa ni waislaam) lakini bado haitoshi kuwa Amerika wanaingilia sana maswala ya nchi nyinginezo kuzitawanya ili wapate kutawala. Keshio huyu jamaa akiwageuka basi wataishambulia kosovo na raia wake kwa sababu ya mtu mmoja tu. Kwa hiyo hizi Policy sio za Marekani ila ni policy zilizojengwa na kiongozi mmoja na yawezekana kabisa Obamma akaja zibadilisha kuondoa maandamano na imani kama hizi toka upande wa waislaam.

Labda kwa kuhitimisha hoja zangu zote ktk mada hii nitasema kwa mkato zaidi ili picha nzima ipate kueleweka na pia jinsi nilivyoweza jifunza toka humu.
Pamoja na mtazamo mzima wa Policy za Marekani hasa chini ya Uongozi wa Republican umekuwa ukipingwa sana duniani lakini Bush kama kiongozi amekuwa mbele sana kutumia mitulinga kueneza siasa zake za kuweka makoloni.

Waislaam wa Tanzania walitaka kufanya maandamano yao kupinga ujio wa Bush (mlivyotaka isomeke) siku ya Jumamosi atakayo wasili lakini baada ya kuangaliwa azimio na malengo ya maandamano hayo na Usalama wa Taifa, walikubaliwa lakini sio kwa siku ya Jumamosi ila Ijumaa kuepusha vurugu ama janga lolote nje ya makusudio na maazio ya maandamano hayo. Who knows wajinga wengi na wapo pande zote!
Matayarisho ya maandamano hayo yalifanyika na habari ziliwafikia Watanzania wote kupitia vyombo vya habari kujumuika pamoja kuandamana dhidi ya policy za Bush... Na sio kama wengi mnavyofikiria kuwa waliandamana kupinga ujio waBush.. hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na pengine wasingepata kibali.. sasa ikiwa usalama wa Taifa wameweza idhinisha maandamano hayo nyie kina nani hasa kutoa hukumu yenu tena bila kuwa na habari kamili..
Kama walikuwa wanapinga kuja kwa Bush, kisheria wangewakilisha maombi ya kupinga kutompokea Bush na sio maandamano ambayo nia na madhumuni yake ilikuwa kumwonyesha Bush na utawala wake kuwa anachokifanya sii haki.. So, ni lazima awepo ama awasili nchini ili maandamano hayo yaweze kuwepo..

Hata hivyo waislaam bila kutumia mitulinga walikubali siku ya Ijumaa badala ya Jumamosi na maandamano yalikuwa hayana vurugu tena hawakuruhusiwa hata kwenda Ubalozi wa Marekani kama ilivyokusudiwa mwanzo....Je kuna kosa gani haswa mnaloliona nyie ambalo linahitaji majadiliano makubwa yanayofungamana na imani za dini hata kuleta tofauti kubwa za mtazamo wa haki..

Ndugu zangu kwa kifupi nitasema kwamba Wadanganyika tupo ktk hasara na hasara kubwa kwa sababu ya huu Ujinga wa AMANI na UTULIVU.
Nakumbuka vizuri kuwa alipojitokeza Dr. Slaa na issue za Richmond na BoT kuna watu walisema ni mtu anayetafuta sifa kwa sababu Zitto kajichotea Umaarufu..
Huyo Zitto pia alikuwa na kasoro kubwa nyingi zikiambatana na kushiriki kumuua Amina Chifupa yote haya ni katika kudhoofisha hoja yake ya Buzwagi.
Huyo pia Amina Chifupa hakuwa msafi kwa umalaya na mengine mengi tu kwa sababu alizungumzia sana mafisadi wauza madawa ya Kulevya... basi ilimradi Wadanganyika tuligawanywa tusiwe na moja la kusimamia hata kama ilikuwa ni maslahi ya nchi yetu.

Tumefikia mahala hata Mwakyembe, mama Malecela na wengine wote wanaojaribu kusimama kwa ajili ya haki zetu huonekana wana dosari zao kimwili, imani ama majumbani mwao, kifupi ni wachawi na wazuri na mnyonge ni wale Mafisadi wanaotuangamiza kiuchumi na kifikra.
Hizi ni fikira finyu za kitumwa na nashukuru sana kuwa hapa JF tunapata nafasi ya kuelemishana na pengine kukosoana lakini swala kubwa na zito ni pale napojiuliza ni Wadanganyika wangapi huko vijijini wanaopata mwamsho wa JF na vijiwe kama hivi. Wachache sana na pili inasikitisha sana kuona watu wenye Ma phd yao na wale ambao nilitegemea kuwa wangekuwa mstari wa mbele kuunga mkono mazuri kwa taifa letu lakibi mara nyingi wamezitumia elimu zao kuchambua nafsi, imani na maumbile na mwakilishi badala ya sababu na malengo ya issue nzima.

Na ni ktk mtazamo huu huu watu wamekuwa wakidai CV ya mtu kutaka hata kuamini kama anaweza kuongoza ama kuwa mume wa ndoa za watoto wetu. Utaifa tumeuweka nyuma kama walivyo viongozi wetu na ndio maana nakubaliana sana na msemo usemao kuwa viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe - Yaani Wajinga waliotokana na mfumo halisi wa AMANI na UTULIVU.
Mkapa na utawala wake, JK na Lowassa na kundi lake zima hadi leo wanapata watetezi ktk mabaya wanayoyafanya na hakika JK kaweza vuta watu kutokana na ujio wa Bush...

Kama kawaida ya Mdanganyika ni kusema sana, wale wachache wanaojaribu kusimama huonekana mbumbumbu na wajinga, sasa sielewi kama mjinga huweza kumpima mtu ujinga yaani kwa kutumia kipimo cha ujinga wa wajinga. Leo hii tumesimama njia panda na kuna uwezekano mkubwa Bush na Utawala wake wakaweza pandikiza mbegu ya fisadi moja kututawala. sina maana JK na wala siwezi kutaa kuwa hawezi kuwa yeye. Kama waliweza pandikiza Mobutu Zaire watashindwa vipi kumweka JK kuwa rais wa Tanzania kwa miaka 20 ijayo akitoa ahadi za kiungwana!...who knows Marekani wana agenda gani nchini na CCM wana agenda gani!.. ni makosa makubwa kuweka dhana kama hizi lakini kama raia wa Tanzania nina kila haki ya ku question movement zozote ambazo naziona zina mashaka makubwa hasa kutokana na nyendo za tawala hii ktk maswala la nchi za nje.
Wanabodi, kinachotakiwa ni sisi kutoka ktk lindi hili la ujinga na kiza kikubwa ili tupate kuona nje ya kabati la utumwa. Fedha sii Utajiri hata siku moja, na ujio wa Bush sio sababu ya kusema waislaam hawakutaka Bush aje nchini laaa! Bush aje lakini ajue wazi kuwa Watanzania (waislaam) hawakubaliani na siasa zake.

Mnaweza kuwa na mawazo tofauti sana lakini jamani tupeni nasi nafasi ya kujieleza ktk maswala ambayo sisi tunayaona hayana haki, pengine kesho itaweza kuwa faida kwetu sote who knows hata kama hatuko sawa haikupunguza kitu kwenu... mikopo imepatikana ama itapatikana na Bush kaingia nchini salama na ataondoka salama.

Nahitimisha maelezo yangu na pengine nitayarudia ktk kila hoja kwani naelewa mazi kila swali linalofuata jibu lake lipo hapa hapa.
 
Ah.. simple, Nafikiri walikuwa wanaandamana ili watokee kwenye TV tu!

Bush hata akitaka kutembelea Iran atakaribishwa vizuri tu! Si mliona kule Falme za kiarabu walivyompa good time.

kwi kwi kwi.
Sina mbavu mie! Yaani mtu yuko tayari kuandamana na jua lote hilo la Dar kwa ajili ya kutokea katika matangazo ya Tv tu?
 

Hakuna emotions na ukiongela waislam hivi au hivi uje na evidence ya hayo ndiyo mafunzo ya kiIslam wewe ndio unaonyesha chuki yako kwa uislam na unapoulizwa nii wapi ulipoona waIslam wanafundisha hivyo unasema ooh zomba, zomba. wacha hizo, nimekuuliza maswali hapo juu kutokana quote na zako mwenyewe sasa mbona huzijibu, kama si ujinga ni nini?
 
Kinachofurahisha au kusikitisha zaidi ni kuwa Bush anakwenda saudi arabia muda wowote anaotaka na hakuna maandamano wala nini
 
Mwafrika wa Kike,

Kwani Saudia ndio nini dada yangu?... Marekani wameshapandikiza utawala ule na kama kuna sehemu viongozi wake wanalindwa mchana kutwa basi Saudia inaongoza maanake wamejaa kina CTU -Jack Baeur. Osamaa ni matokeo ya Utawala huo wa Saudia.
Yalikuwa hivyo alipokuwa Saadam hapakuwa na maandamano dhidi ya USA na hata Mullah Omar ni hadithi ambazo hatuzipati hadi siku watu hao wanapowageuka. Nadhani kama wewe mwenyeji Dar utamkumbuka yule Prince anapoingia mjini, sii totoz na walevi kupindukia, kila Ramadhan hukimbilia Londo ama Europe kujirusha. Uislaam sio jina akam alivyosema Mwanakijiji kuwa uislaam sio jina la mtu. Uislaam ni way of life hata wewe unaweza kuishi kiislaam na ukawa muislaam wa haki kuliko huyo mwarabu.
Kama kuna nchi inaweza angusha uchumi wa Marekani ni Saudia (supply of Oil) lakini thubutu who runs the Oil ni Waamerika pamoja na kwamba visima vyopte ni vya Masultan.

Una habari kuwa Saudia fedha yote ni mali ya Sultan ambaye ndiye serikali?...Hivyo basi kuwa musislaam haina maana mtu huyo ni kiongozi mzuri ni sawa lna leo hii tunapozungumzia watu kama Lowassa na kina Karamagi, Mugabe n.k - Wazungu wanashangaa kuona watu weusi kama sisi ndio wanatunyonya hali walitegemea tofauti. Na ajabu zaidi wanapata support kubwa toka kwa wajinga sisi ambao tumejiunga na dini hii ya Amani na Utulivu.
 

Mkandara,

Ninakuelewa sana na niko upande wako katika hili na ukiona mimi mijadala yenye mvuto wa kidini kama hii huwa najaribu kuwa mbali nayo nisijetoa kufuru bure?!

Kilichopelekea mimi kutoa mfano wa saudi arabia ni the same reason ambayo watu wengine hapa wametoa kuwa Bush anaua waislam wa Iraq, Palestine, Somalia, na Afghanistani.

Nilivyoona hili basi nikajiuliza swali kama the same Bush ndiye yule ambaye anaweza kwenda anavyotaka Quwait, Saudi Arabia, Jordan na nchi zingine ambazo waislam ni wengi.

Kwa nini mtu uwe concerned na watu wa Iraq bila kujali wa Saudi Arabia? hili ndilo swali linalosumbua akili yangu katika huu mjadala wote.


Haya yote ninayajua mkuu na ninasubiri hao wanaondamana leo wamalize la kuandamana dhidi ya Bush na waanze kuandama dhidi ya sultan na wenzake huko saudia
 
Hawa woooote ni waIslam wanaoandamana kuhusu kichaka:

[SIZE=+1]Two arrested at demo against Bush[/SIZE] jcollinsUpdated: 2004-07-31 12:12:03-05 People chanting "This is what democracy looks like" changed meaning as the rally protesting Bush's appearance in Springfield unfolded, July 30. Initially the phrase described the thousands of people lined up with tickets, waiting to enter the field house, being reminded by people carrying signs that not all people in Southwest Missouri thought this president deserved four more years of leadership that had launched wars resulting in thousands dead and tens of thousands wounded, a national debt increasing at $1.69 billion dollars a day, and an atmosphere of secrecy and civil rights erosion in America.
http://www.joplinindependent.com/display_article.php/jcollins1091290323

Bikes Against Bush

"Maiden Voyage" video

http://www.bikesagainstbush.com/blog/video.html

Troops out of Iraq and Afghanistan

Don't attack Iran
End the siege of Gaza
Assemble 12 noon, Trafalgar Square, London


"I have walked on every march against us going to war because I am against war but this is a particularly horrible war. We have no business to be in Iraq. This was the biggest demonstration of my long life and I am proud I took part."


http://www.stopwar.org.uk/

Bush visit to Vienna provokes mass protest against imperialism and war
By Der Funke - www.derfunke.at Friday, 23 June 2006 The visit of George W. Bush together with his wife and more than 500 US security agents to Vienna for the EU-US-summit is over. The Austrian police forces were given a great opportunity to test their "emergency procedures" under the guidance of the CIA while thousands of people demonstrated against Bush and the imperialist policies he stands for.
http://www.marxist.com/bush-vienna-mass-protest-imperialism-war230606.htm



THE KYOTO RALLY, May 5 2001.

The Kyoto Rally was the biggest demo in Britain directly responding to the dumping of the Kyoto treaty by American President, George. W. Bush. It was mentioned in Parliament and footage was used on US 'CBS' TV news.



For lots more pictures from the Kyoto Rally click here .

http://www.campaigncc.org/gallery.shtml


Au bado tuweke zingine ndio mjuwe kuwa woooote hao ni wa Islam?
 
Mwafrika wa Kike,
Nimekusikia dada yangu tatizo letu Watanzania hutazama nani kisha tunazichambua asili,, imani, maumbile na mwisho elimu yake kuweza kujenga hoja ya madai ya huyo mtu.
Ndio maana watu kama kina Dr. Slaa, Zitto, Mwakyembe wanapata sana shida kukubalika kwani message zao ni secondary. Hivyo wengi huona kama ni issue ya Chadema ama wapinzani na sio issue ya taifa zima..
Nina mashaka sana na hatima ya nchi yetu hasa kama akakuja mtu kama yule Jaluo akaitumia dini.. Nina hakika tutagawanyika vibaya sana without reasoning..watu watashindwa kuona ubaya kama wa yule Jaluo alipochoma kanisa limejaa kina mama na watoto wa kikukuyu!...
Ndio maana nimeshikilia kamba mada hii kujaribu kuepusha balaa kama hili. Na mara zote tetesi zangu hazina kumbeba muislaam jambo ambalo nina hakika wengi walifikiria labda waislaam wanapopinga Bush basi lazima ni Pro Osama na Ugaidi...
 

Mkandara,

mimi niko nawe katika hili kuanzia mwanzo na naiona kabisa nia yako ya kujaribu kutenganisha hizo dhana mbili katika huu mjadala. Imekuwa tu bahati mbaya kuwa huu mjadala ulipamba moto weekend (ambapo mara nyingi mimi huwa nakuwa off hapa JF) kwa hiyo nikashindwa hata PM kukupatia support kwa kazi nzuri.

Hata usione wengine wako kimya hapa. Kila kinachoandikwa hapa kinasomwa ni kwa vile tu watu wengine wanaepuka hii mijadala yenye mvuto wa kidini ila wako makini kusoma mawaidha mazuri toka kwa wachangiaji kama wewe.
 
Mkandara,

nadhani sasa inajulikana dunia nzima kuwa Kichaka hapendwi kabisa na hata marekani karibu asilimia 70 haimtaki huyu jamaa. Siku tu anaapishwa kwa mara ya kwanza hata kabla hajaanzisha vita huko Iraq au Afghanistani kuna watu kibao tu waliandamana kumpinga yeye na serikali yake (ambayo ilikuwa haijaundwa).

Tofauti tu ya waliondamana hapa US ni kuwa wao hawakujiita kwa misingi ya dini zao - kumbuka kuwa kuna waislam au watu ambao sio wakristo hapa karibu milioni 50.

Ingawa sina tatizo na waislam wa Tanzania kuandamana dhidi ya Bush, unaonaje kama wangeandamana zaidi kama watanzania kuliko kuandamana kama waislam?
 
Mie nauliza kwani waIslam hawana haki ya kuandamana kwa ujio wa anaewauwa waIslam wenzao?
 
Mkandara naomba wakumbushe waArabu ni minority katika waIslam duniani. Na hao waArabu wapo wakiristo na wapo wasio na dini. uArabu si kigezo cha uIslam. uIslam ni universal na hauna rangi wala kabila.
 
"unaonaje kama wangeandamana zaidi kama watanzania kuliko kuandamana kama waislam?"
Mkandara, Summary ameitoa Mwafrika, hapo juu! Tumejikomboa kwa wakoloni, sasa tunaanza kutawaliwa na itikadi za KiKristu au Kiislam, kuna wengine hadi mioyo inawauma; Kwa Nini msijisikie WATANZANIA au Wa-Afrika?
 
Mkandara naomba wakumbushe waArabu ni minority katika waIslam duniani. Na hao waArabu wapo wakiristo na wapo wasio na dini. uArabu si kigezo cha uIslam. uIslam ni universal na hauna rangi wala kabila.

Je waliouwawa huko ni waarabu au waislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…