Taarifa ya Balozi Dkt. Slaa kuhusu Mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa

Jamii forum nipende kuwashukuru kwa kuweka taarifa kamili kwani ninachokisoma kwenye magazeti ni tofauti kabisa. Kwa ninavyoona wandishi wa Habari wameamua kuupotosha umma juu ya kilichoongelewa na Dr.
Hivyo vigazeti ni sehemu ya matatizo makubwa ndani ya nchi hii siku hizi. Wamekuwa ni sehemu ya upotoshaji.
Wao ni wafanya biashara, wakitupia makombo wanaimba wimbo ule ule wa anayewalisha.

Ni bahati kwetu kuwepo na JF hapa.
 
Ila Dr. Slaa huyu mzee akiamua kujiwasha data ni habari nyingine, hiki kichwa ni hatari.
Huyu mtu nilikuwa shamtoa kabisa katika kumbukumbu za waTanzania wenye heshima. Ni vigumu sana nchi yetu ilivyo na watu vigeugeu, hata watu ambao usingedhania kuwa wanaweza kuwa hivyo.

Sasa sielewi kabisa ni kitu gani kimemrudishia akili yake nzuri aliyokuwa kaipoteza hapo katikati..

Katoa maelezo, marefu sana, tena kamilifu kabisa. Asiyetaka kuyaelewa haya itabidi afanye kazi ya ziada kuyapinga.

Nadhani kilichobaki sasa kwa mtu kama Samia, ni kutegemea tu ujuha wa waTanzania kutojali maswala muhimu; lakini katika kuyaelezea maswala hayo sasa siyo tatizo tena.

Niongezee la ziada hapa. Mbinu anazotumia Samia, na ambazo zilimfanya aonekane kufanikiwa kuwahadaa wengi, sasa zimestukiwa.
Mbowe aliingizwa chakani kwa mbinu hizo hizo, lakini na yeye kaja kugundua kuwa huyu mama ndiyo njia zake za udanganyifu na hadaa.
 
Daaaaah. #Pinga muungano kwa nguvu nzote. Akiri nzuri But Naye ni msaliti wa Mabadiliko!
 
Samia hana utetezi, alichoishia kufanya ni kujiita tu mtanzania, lakini hajapinga chochote kuhusu huo mkataba wa kinyonyaji, hana maana kabisa.
 
Tuweke akiba ya maneno ! Hao wanasiHasa wetu sometimes ni vigeugeu !! Anaweza kuwa yupo sahihi asilimia mia moja lakini will he stand for what he believes in a long run ??!! Tusubiri tuone !!
 
Samia hana utetezi, alichoishia kufanya ni kujiita tu mtanzania, lakini hajapinga chochote kuhusu huo mkataba wa kinyonyaji, hana maana kabisa.
EEeenHeeeee!

Ni kama jambazi lililokamatwa likiwa kwenye shughuli za unyang'anyi. Utategemea jambazi hilo liwe na maelezo ya namna gani?

Ni aibu sana kwa kiongozi wa nchi kuwa katika hali aliyomo huyu mwanamke sasa hivi.

Ni basi tu watu hawawezi kuzomea jizi hadharani.
 
Tuweke akiba ya maneno ! Hao wanasiHasa wetu sometimes ni vigeugeu !! Anaweza kuwa yupo sahihi asilimia mia moja lakini will he stand for what he believes in a long run ??!! Tusubiri tuone !!
Hata asipoendelea kusimama, awe kigeugeu tena; hiyo haiwezi kufuta haya aliyokwishayaeleza hapa ambayo yapo wazi kabisa kwa kila mtu kuyaelewa.
Akigeuza 'stori' kwa "ukigeugeu" tena, watu watamwelewa hivyo hivyo kwa tabia yake hiyo mbovu; lakini elimu aliyoitoa kwa watu haiwezi kufutika hata akijitokeza na kuikana tena.
 
Inabidi mimi na Huyu mzee tuanzishe chama cha wananchi wenye akili timamu tanzania. Tanzania itapona
 
Sahihi kabisa. !
 
Ccm ashindwe chaguzi !

Ova
 
Naunga mkono hoja zake ila je kuhusu kuharibu uchaguzi 2019/20 nalo ndiyo kalijua baada ya sakata hili?
 
Serikali inatuona MAZUZU WA MWISHO kabisa inafanya inavyotaka, MAMA SAMIA HATUFAI
 
Kuzomewa hadharani haiwezekani, lakini naamini kabisa, anachokiona mitandaoni kwa sasa dhidi yake hana amani, anajua wazi imani waliyokuwa nayo wabara kwake imeshuka sana, ametupeleka utumwani Dubai makusudi, hatufai na simpendi, katusaliti.
 
Padrii tangu lini akaona uziri wa muislamu!?.Sisi tumeisha maliza,nyinyi payukeni weeee!Mkichoka mtanyamaza.
Mama anasonga mbele.
 
Aisee

Mwenye kujua kiongozi wetu MBOBEZI kwenye fani gani tafadhari
 
Huu mkataba hata Chifu Mangungo alikuwa na afadhali. Hapo utakuta DP washatoa mpunga mrefu wa rushwa kwa viongozi wamekaa wanasikilizia jinsi tulinavyo pitisha huu mkataba wa kinyonyaji kama mazuzu.
 
Jamii forum nipende kuwashukuru kwa kuweka taarifa kamili kwani ninachokisoma kwenye magazeti ni tofauti kabisa. Kwa ninavyoona wandishi wa Habari wameamua kuupotosha umma juu ya kilichoongelewa na Dr.


Hawawezi kuandika kwa uwazi juu ya suala hili kwa kumuogopa waziri wa habari ambaye ni mtetezi mkubwa wa huu uhaini wa kuiuza nchi yetu kwa Wageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…