Taarifa ya Balozi Dkt. Slaa kuhusu Mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa

Hiyo nae wakumsikiliza? Kanisani jafeli, CCM kafeli, Chadema kafeli, diplomasia kafeli.


Huyo anavyiviijuwa ni umbea, majungu na chini tu.
 
Hiyo nae wakumsikiliza? Kanisani jafeli, CCM kafeli, Chadema kafeli, diplomasia kafeli.


Huyo anavyiviijuwa ni umbea, majungu na chini tu.
Duh kwa maelezo yako haya yawezekana dhana ya uhaini katika jambo zito ikawa inaelekea kupata udhibitisho!
 
Tungeanza kwanza na bandari zilizoko Zanzibar ambako mara zote wametamani kuwa kama Dubai. Tanganyika tutajifunza na kufaidika na uzoefu wao ikiwa kweli watakuwa kama Dubai.
 
Tukitaka kuachana na huu ujinga tuwe serious kwenye uchaguzi
 
Mungu wa mbinguni ampe maisha marefu ndugu Dr. Wilbroad Peter Slaa. Mbulu akiwa na akili anakuwa akili kubwa kupita wote na huwezi kuiga akili yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…