Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah! Kusikia kwa kenge ni damu masikioni. Ila nasi tuchukue tahadhari ili hayo magaidi yasije kukimbilia huku kwetu wakati kichapo kitakaposhika kasi ya 5-6 G dhidi yao.Wapigane, waendelee kupigana mpaka Moja asalimu Amri....wasiombe msaada Wala kutegemea huruma pande zote ziwasiliane na washirika wake wapeane sapoti zipigwe vita mpaka Gaza iwe jangwa
Wawili tu ambao walikuwa wanawalinda hao matekwa.Hamas wamefariki wangapi?
Wawili tu ambao walikuwa wanawalinda hao matekwa.
Wale mlio 200 ni raia ambao mlijiact mnawapelekea msada kwenye gari la msada k.mbe mmejaza askari wa America na waisrael.
Yani kuwauwa civilian wasio na makosa ndio mnaona mmeshinda vita kweli kondoo atabaki kuwa kondoo tu.
Mbona sijakubishia! Ilaha unapopigwa na msenge wewe bwabwa+++++Hawa hapa au na wewe group moja.
Shekhe, tuliza munkari, jaribu kujibishana kwa utulivu bila matusi. Wewe ndo mleta mada halafu unaharibu uzi
Kwa akili zako mateka wanalindwa na watu wawili?Wawili tu ambao walikuwa wanawalinda hao matekwa.
Wale mlio 200 ni raia ambao mlijiact mnawapelekea msada kwenye gari la msada k.mbe mmejaza askari wa America na waisrael.
Yani kuwauwa civilian wasio na makosa ndio mnaona mmeshinda vita kweli kondoo atabaki kuwa kondoo tu.
Kwa akili zako mateka wanalindwa na watu wawili?
Umejuaje hayo yote dogo! Wahenga walisema!;Kwani msenge hawezi kuuwa hamna watu wenye roho mbaya kama wasenge wewe wewe mwenyewe unajionaje roho yako?
Hijlishi ila msimamo upo palepale Hamas must leave Gaza
Israel wataokoa mateka wao wote mikononi mwa magaidi ya kiislam kwa msaada wa Mungu niHii operasheni yao imefeli Marekani katumia mamiloni ya dola kutengeneza bandari wameshirikiana na Isarael wameenda kuokoa mateka wa 4 na mateka wengine wamewaua wenyewe Hamas wamuwa wanajeshi wengi wanaona aibu kutanganza wanaonyesha Chopa tu inaondoka hawataki kuonyesha matukio mengine wanasema wamepoteza Askari
Mmoja.
Kwa hiyo wewe na Ritz ndio wawakilishi wa Hamas au inakuwaje?Mijinga kweli kwanza kuna ndege ya UK ina spy Gaza masaa 24 ndio inatoa infom na kuna wanafiki wana nunuliwa kwa pesa ndio wamewapo infomation wafuasi wa yule Rais wa Palestin mnafiki Abbas.
Pili Jeshi la America ndio walio ingia kwa kutumia truck la misada wali jidai wanepeleka kuwasaidia wa Palestine.
JE hilo ndio jeshi litumie gari la kujidai wana toa msada kwa walio dhurika na vita kumbe ni jeshi la America na Israel.
Kufika kwenye sehemu yawalipo wekwa hao matekwa wakanza shambulia kila binadamu aliye karibu na hilo jumba, hawakuwacha sehemu hawafyatui risasi, ndege kurusha maboom, navy pia yote kwa ajili wanatafuta ushindi fake 😄
Kondoo watabaki kondoa wafungwa wao waliwekwa sehemu ili wapate kuhudumiwa vizuri, chakula kwa mazingara mazuri sa hio Hamasi wanasema hakuna tena kuwekwa kwenye mazingara si mazuri hata kama Uislam anasema tuwafanyie mema hata kama madui zetu, lakini kondoo hata umfanyie mazuri anakuona we mjinga
Israel katangaza askari mmoja ndio kafa officer lwa jeshi lake walio shiriki, akini hawatangazi wahabeshi, Wamarekani, wafaransa, wahindi walio kufa zaidi ya 9 hao yeye anawaona si katika wanajeshi wake 😄
Ikiwa hao wa 4 mpaa USA, France na UK wamefurahi na viongozi wanajisapoti kwa ushindi wao wakuokoa hao matekwa 4, ina mana hapo ni dalili wazi hawana uwezo wakukomboa walio baki lazima wakubali masharti ya Hamasi tu.
Netanyahu AkberNetanyahu anakimbiwa huko unacheza na Hamas 😅
We unadhani kulinda hao matekwa kuweka askari wengi si ndio unawaonyesha wengine mnalinda kitu hizo ni military strategy dogo, wale ni matekwa hawana silaha afu mwenzake hayupo mbali jumba la pili ni meter kama 200 tu, unataka wawekewe askari 10 au?Kwa akili zako mateka wanalindwa na watu wawili?