Taarifa ya Hamas- Mauaji ya Nusseirat na operesheni ya uokoaji wa Israeli

Taarifa ya Hamas- Mauaji ya Nusseirat na operesheni ya uokoaji wa Israeli

We unadhani kulinda hao matekwa kuweka askari wengi si ndio unawaonyesha wengine mnalinda kitu hizo ni military strategy dogo, wale ni matekwa hawana silaha afu mwenzake hayupo mbali jumba la pili ni meter kama 200 tu, unataka wawekewe askari 10 au?

Akili kweli mali
Ungekuwa na akili japo kidogo tu ,ingekusaidia kwenye hoja rahisi kama hizi.
 
Ukiangalia BBC na CNN mpaka utacheka wanashangilia kama vile wamefanya jambo la ajabu hawaelezi mauji yeyoye wanajisifia tu wanaweka video ya chopa unaondoka na kufika Israel hawaonyeshi hiyo operesheni.

Marekani wanafika sana iliijenga hiyo bandari kwa dola milioni 320 eti wapitishe misaada Hamas sasa hivi analipua gari yeyote itakayatoka kwenye hiyo gati, wameeambia sasa hivi hawa mateka zaido ya 120 na wengine waliwateka vitani wasaau kuwapata.
Sasa ina maana gani ? unateka watu 120 una opoteza 40000+ pamoja na kufanya wengine kuwa disabled na nchi kuwa jangwa ,watoto hawaendi shule ,watu wanalala kwenye vifusi huku hao wazungumzaji wa hamas wao wapo kwenye hotel na familia zao.
 
40,000? mbona kidogo sana hao, weka hesabu toka 1948 mpaka leo Wapalestiuna wangapi wameuliwa na kuhamishwa kwa nguvu kwenye ardhi yao?

Hii vita ya Ghaza haiishi mpaka Quds ikombolewe.

Sasa hivi, mazayuni inawanyeeshea, kaskazini, baharini na kusini, hawasemi tu.

Meli ya mabasha zao juzi imetandikwa na Wayemeni mpaka imekimbilia Saudi Arabia kufanyiwa marekebisho. Meli ya kubeba ndege za kivita ambayo inalindwa na meli zingine kibao, mpaka walisema kiuwa hiyo hai[pigiki, Waye,meni wameinyuka.

Kaskazini huko kuna waka moto na Hesbollah wanazidisha masafa ya kuingia na kuwachapa mazayuni kila kukich, sasa wanawachapa mpaka kilomita 40 ndani ya ngome zao kutokea mpakani, kila kukicha.
 
40,000? mbona kidogo sana hao, weka hesabu toka 1948 mpaka leo Wapalestiuna wangapi wameuliwa na kuhamishwa kwa nguvu kwenye ardhi yao?

Hii vita ya Ghaza haiishi mpaka Quds ikombilewe.

Sasa hivi, azayuni inawanyeeshea, kaskazini, baharini na kusini, hawasemi tu.

Meli ya mabasha zao juzi imetandikwa na Wayemeni mpaka imekimbilia Saudi Arabia kufanyiwa marekebisho. Meli ya kubeba ndege za kivita ambayo inalindwa na meli zingine kibao, mpaka walisema kiuwa hiyo hai[pigiki, Waye,meni wameinyuka.

Kaskazini huko kuna waka moto na Hesbollah wanazidisha masafa ya kuingia na kuwachapa mazayuni kila kukich, sasa wanawachapa mpaka kilomita 40 ndani ya ngome zao kutokea mpakani, kila kukicha.
Halafu wewe ni mtu mzima kabisa mbona unatumia maneno ya kihuni, ''mabasha zao'' ndio nini?
 
Nilisema hapa kua humu kuna magaidi. Inabid uomgozi uwe makini na hii ID.
 
magaidi wanaua wapalestina na wamewateka waisrael na wamewatawanya sehemu mbali mbali kwa mafungu, hili tu linafanya zoezi kua gumu kijeshi na wanajeshi waliopo humu wataelewa nini nasema, ila wanajesh waisrael kwa kusaidiwa na Mungu wanajitahid kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja,,wanazuia wapalestina wasiendelee kuuawawa na magaidi(savi wamefika ellfu 37), na pia kurudisha mateka either wakiwa wamekufa ama.hai, ndio.mana hatushangai gaidi mmoja anakufa na watu 274..au gaidi mmoja anakufa kuokoa mateka 4.

Kazi iendelee! God bless Israel and KILL ALL TERRORISTS.
 
40,000? mbona kidogo sana hao, weka hesabu toka 1948 mpaka leo Wapalestiuna wangapi wameuliwa na kuhamishwa kwa nguvu kwenye ardhi yao?

Hii vita ya Ghaza haiishi mpaka Quds ikombolewe.

Sasa hivi, mazayuni inawanyeeshea, kaskazini, baharini na kusini, hawasemi tu.

Meli ya mabasha zao juzi imetandikwa na Wayemeni mpaka imekimbilia Saudi Arabia kufanyiwa marekebisho. Meli ya kubeba ndege za kivita ambayo inalindwa na meli zingine kibao, mpaka walisema kiuwa hiyo hai[pigiki, Waye,meni wameinyuka.

Kaskazini huko kuna waka moto na Hesbollah wanazidisha masafa ya kuingia na kuwachapa mazayuni kila kukich, sasa wanawachapa mpaka kilomita 40 ndani ya ngome zao kutokea mpakani, kila kukicha.

View: https://x.com/marwa__osman/status/1800001157676576835?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ungekuwa na akili japo kidogo tu ,ingekusaidia kwenye hoja rahisi kama hizi.
We ndio ukapime akili zako kama unadhani kulinda matekwa wanne inataka jeshi kamili.

Ungekuwa una fahamu mambo ya security au umepitia katika chuo cha kijeshi ungefahamu wazi POW hatakiwi kulindwa na zaidi ya askari wawili au mmoja.

Sababu hana silaha au infomation ya yale mazingara ya pale, lakini kwa kuwa akili zako ni debe tupu unadhani anatakiwa alindwe na askari wengi 😄
 
Wanaukumbi.

🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI.

“Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu

Katika jinai ya kikatili ambayo inathibitisha asili ya chombo hiki cha jinai cha kifashisti, ambacho kinakengeuka kutoka kwa maadili ya ustaarabu na ubinadamu, jeshi la kigaidi la uvamizi leo limefanya mauaji ya kutisha dhidi ya raia wasio na hatia, yaliyojikita katika kambi ya Nusseirat na kuenea hadi maeneo mengine katika mkoa wa kati. , na kusababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa mamia ya watu binafsi, na uharibifu wa vitongoji vya makazi katika ongezeko kubwa la mauaji ya halaiki yanayotekelezwa dhidi ya watu wetu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.

Kile ambacho jeshi la Wanazi lilitangaza kuhusu kuwaokoa mateka wake kadhaa huko Gaza—baada ya zaidi ya miezi minane ya uchokozi ambapo njia zote za kijeshi, usalama, na teknolojia zilitumiwa, na wakati ambapo uhalifu wote, kutia ndani mauaji, mauaji ya halaiki, kuzingirwa na kuzingirwa. njaa, ilifanywa—haitabadilisha kushindwa kwake kimkakati katika Ukanda wa Gaza. Upinzani wetu shupavu bado unashikilia mateka wengi na unaweza kuongeza idadi ya watu waliokamatwa, kama ilivyokuwa katika operesheni ya kishujaa ya kukamata iliyofanywa katika kambi ya Jabalia mwishoni mwa mwezi uliopita.

Upinzani wetu wa kijasiri, unaoungwa mkono na watu wetu thabiti, umerekodi mashujaa wa ajabu zaidi katika vita vyake dhidi ya uchokozi wa kikatili wa Wazayuni, ukiungwa mkono na nguvu za uovu na uchokozi. Imechukua jukumu la kuendeleza njia yake kwa dhamira na changamoto hadi adui ashindwe na malengo yake kuzuiwa. Katika muktadha huu, tunawapa salamu mashujaa wetu na wapiganaji ambao kwa ujasiri walikabiliana na vikosi vya uvamizi leo na kwa ujasiri walipambana nao kwa masaa kadhaa katika kambi ya Nusseirat na mkoa wa kati, na kuwasababishia hasara kubwa askari na maafisa wao wa kigaidi, wauaji wa watoto na wanawake. .

Tunathibitisha kwamba kile ambacho vyombo vya habari vya Marekani na Kiebrania vimefichua kuhusu ushiriki wa Marekani katika operesheni ya leo ya jinai kwa mara nyingine tena inathibitisha jukumu la serikali ya Marekani na ushiriki wake kamili katika uhalifu wa kivita unaofanywa katika Ukanda wa Gaza, na kufichua uwongo wa misimamo yake iliyotangazwa kwenye Ukanda wa Gaza. hali ya kibinadamu na wasiwasi wake kwa maisha ya raia.

Tunatoa wito kwa watu wetu wa Kiarabu na Kiislamu, na watu huru wa dunia, kutoa shinikizo zaidi na kuzidisha vuguvugu la kulaani uchokozi na mauaji ya kimbari huko Gaza. Tunaiomba jumuiya ya kimataifa na Umoja wa Mataifa kuchukua msimamo wa kweli dhidi ya uhalifu huu unaoendelea, ambao unadhalilisha ubinadamu na kutokea kwa sauti na sura mbele ya macho ya dunia nzima, na kufanya kazi ya kukomesha na kuwafikisha wahusika katika vyombo vya sheria kwa ajili yao. uhalifu na mauaji ya kinyama ya watoto na raia.

Harakati ya Upinzani wa Kiislamu - Hamas
Jumamosi: Tarehe 2 Dhul-Hijjah, 1445 Hijria
Sambamba na: Tarehe 8 Juni, 2024 CE”

View: https://x.com/suppressednws/status/1799472411311505822?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Vichekesho October 7 walifanyaje hapo israel,
 
Vichekesho October 7 walifanyaje hapo israel,
Punguani peke yake ndiyo anajua anawqza kuwa vita vilanza October 7 huenda umri wako mdogo zao la JF.
 
Back
Top Bottom