kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
diamond ameanza lin kurap tena
Anabana pua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
diamond ameanza lin kurap tena
mbona Jay z na Beyonce walipokutana na Obama ikulu ilitangazwa,obama alishutumiwa na nan kwa kitendo hicho?Matanzania bana
siwezi kushangaa msanii kuongea na msanii mwenzake,ila aibu ni pale chama cha siasa kumchukua jamaa akaimbe mara nimpende nani....mapenzi na siasa wapi na wapi????Kwani ROMA MKATOLIKI mwenye nyimbo za kisiasa mlimkosa???huyo ndiye alitakiwe akapige shughuri huko kigoma na si diamond eti nataka kulewa...kulewa na siasa wapi na wapi???
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
............ Rais Kikwete kumlipa mtaalamu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam aliyefanya utafiti........
..........Mamlaka ya Kodi Tanzania (TRA) kuanzisha mfumo wa kusaidia kuthibiti kazi za
"wasanii"....... Mtaalamu huyo alilipwa Sh. milioni 20 kwa kazi hiyo..........
Umemmasahau na mrembo NAOMI CAMPBEL, ikulu haikutoa taarifaNa Steven Seagal pia