Taarifa ya ikulu kuhusu rais kikwete kufanya mazungumzo na diamond

Ashakum si matusi.... Ikulu u r so cheap. Ni kitu cha kutolea taarifa hiki?
 
wasanii wenyewe ni hawa walioimba nataka nilewe?hapa mnaafunza nn jamii yenu?halafu eti unaema unafaidika,kwa kwenda kujenga nyumba bondeni kama mista buluu?Shame mnaosifia upuuzi huu.
 
Hii nchi bana yaani mambo ya muhimu hatupewi taarifa ila haya mambo kiaina ambayo hayana tija hatupewi
 
Tatizo ni vipaumbele..... Tanzania we have abundant lack of priorities... !
Lakini kuna wasanii kama sita hivi wanaumwa na hawana tiba ya maradhi yao na wala hawapati msaada wowote !
 

Nimeipenda hiyo..."msanii kuongea na msanii mwenzake" ha ha ha
 
Ni heri mrema aliamua kwenda kusomea uraisi maana alijua kama angepewa angefanya madudu.
 

Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU
DAR ES SALAAM
4 Februari, 2013
 
duh kweli bila kuwateka vijana kwa kutumia kitu wanachokipenda unakua ujafanya kitu kabisa badala uo mda angepita kwenye vijiji vya kigoma kuangalia wananch wake wanavyo insh kwa tabu yeye anajibwaga kwenye mahotel makubwa na kuongea na wasani.
 
Mh. Hii Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeishiwa kazi? Yaani JK kuongea na Diamond inahitaji taarifa kwa Umma?(Press Release) au imetengenezwa na mwana Jamii humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…