Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.
Hata hivyo credibility ya ile akaunti yao ya twitter ni questionable, thou wanatoa habari za kweli ila ukiiangalia hasa watu ambao hyo akaunt ina wa follow ndo utapata maswali mengi yenye mkanganyiko mkubwa!
 
Wao awajui kuwa sasa ni utandawazi bwana wache mambo yao ya kiamri
 
yap uko master pared unatoa oder dk 1 imesambaa vikos vyote,watu wanapeana mawasiliano hata muda huu ndani ya handaki ,kumbuka ishu ya mtwara na somalia watutuliipata longtime.wajipange waache mambo ya kizamani.
 
yap uko master pared unatoa oder dk 1 imesambaa vikos vyote,watu wanapeana mawasiliano hata muda huu ndani ya handaki ,kumbuka ishu ya mtwara na somalia watu tuliipata longtime.wajipange waache mambo ya kizamani.
 

Hizo taratibu wanazotumia kutoa taarifa ni zipi ili na sisi tuweze kuzifuata?
 
Huu ni upuuzi mwingine wa jeshi letu,

Hivi hawajui kuwa wanajeshi wengi wanatumia mitandao ya kijamii?

Mwaka 2013 unawafumba watu macho na akili watakuelewa kweli?

Haya tusubiri tuone kama taarifa hazitaendelea kutiririka hapa!
 
mbona hiyo habari ipo mitaani, long time.Wanajeshi wanaaga masela wao wanasema wanawahi boda.....kwani hata inahitaji kuambiwa tena mtu?Hii wangetumia lugha ya kuwafanya watu watumie uzalendo wasiwashtue majirani.Ingawa hata majirani wenyewe wana watu kibao kule ambao wanaona tofauti na masifa ya wanajesh wetu kupiga raia.Hao raia tayari watasema, kwani malawi si wlaichora katuni kuonyesha majeshi yetu vichakani wakati Jk akicheka na mama.
 
ilitetwa hii habari na mdau ikapigwa kufuri,nikajua mods wameambiwa ''aroooo''
 

Ubabaishaji mtupu!
eti habari ni za upotoshaji!!! mbona hawasemi usahihi ulikuwa/ni nini,
eti taarifa zina nia ya kuzorotesha uhusiano na majirani, hivi hawajui kuwa tunajua uhusiano wetu na jirani zetu malawi sii mzuri?

Hawa wasemaji wa jeshi wamekaa ki ccm zaidi kwa maana ya kuwasaidia kutoa matamko kwenye chaguzi.
hovyo kabisa.
 
Huu ni upuuzi mwingine wa jeshi letu,

Hivi hawajui kuwa wanajeshi wengi wanatumia mitandao ya kijamii?

Mwaka 2013 unawafumba watu macho na akili watakuelewa kweli?

Haya tusubiri tuone kama taarifa hazitaendelea kutiririka hapa!

naona wanatuhamasisha tuwapekuwe zaidi.
 
Hawa wenzetu bado wako kwenye analojia. Nahisi kufikia mwakani ndo kidogo wanaweza kuhamia dijitali. Jwtz network bado inasuasua.
 
Mzee Mwanakijiji njoo hapa wewe ndio ulianzisha ule Uzi,haya tuambie Kati yako na hii taarifa ya jeshi nani muongo?
 
Last edited by a moderator:
Hata sijui wanachokanusha hapa, hawajui kwamba baadhi ya askari walioitwa toka likizoni kurudi makambini ni ndugu zetu? Au wanadhani mtu akishakuwa askari anakuwa hana ndugu, jamaa na marafiki walio uraiani!

tatizo la cheo kutawala idara hii, pasipo elimu hii ya sasa ya kimawasiliano. (ndio maana deo filikujombe aliacha upolice idara ya mawasiliano kwakua boss wake la saba yeye ana master nitabu sana)
 

Kama JWTZ ni member hapa JF si waseme wenyewe? Wamejuaje mambo ya JF ili wao si member hapa. La sivyo member wetu ni wakweli binafsi nawaamini.
 
hawa jwtz, wako myuma sana, wana ua mbu kwa rungu!
 
Jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ) linapanga kuchukua hatua dhidi ya wale waliotoa taarifa za upotoshaji kuhusu jeshi hilo.Taarifa iliyotajwa na kuihusisha JF ni ile iliyopostiwa hapa JF iliyodai kusitishwa likizo na pia kuitwa kazini kwa wale waliokuwa likizo.

Jeshi hilo linapanga kuanza kuchukua hatua kwa wahusika.

CHANZO:JAMBO LEO
 

Mzee Mwanakijiji huwa hakurupuki. JWTZ watachemsha tu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…