Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Duuu!!, umetisha mkuu, umeandika utafikiri unaongea, tena kwa hisia.Tatizo madogo wanadaigi picha mno ndo maana Jf inakosaga mambo.
Sosi sosi sosi ya nini! Za kintelijansia hazinaga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu!!, umetisha mkuu, umeandika utafikiri unaongea, tena kwa hisia.Tatizo madogo wanadaigi picha mno ndo maana Jf inakosaga mambo.
Sosi sosi sosi ya nini! Za kintelijansia hazinaga!
Mzee Mwanakijiji huwa hakurupuki. JWTZ watachemsha tu
Tulia wewe mmeyataka wenyewe, na kawaambie hao vigamba wenzio walioko huko jeiwii, waambie hilo ni la wananchi na wananchi wenyewe ndo sisi, tumejaa JF kibao!
Mkuu kwenye hiyo taarifa yao wamekana juu ya umiliki wa akaunti hiyo ya Tweeter na ile ya Facebook.
Uwanja wa mapambano ni wapi? Nina kiwembe nataka nimchanje mmojawao.
Ndiyo hawa jamaa katika zama hizi, kwenye maazimisho ya sherehe zao huwa wanavunja mawe na matofali kwa vichwa?
Jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ) linapanga kuchukua hatua dhidi ya wale waliotoa taarifa za upotoshaji kuhusu jeshi hilo.Taarifa iliyotajwa na kuihusisha JF ni ile iliyopostiwa hapa JF iliyodai kusitishwa likizo na pia kuitwa kazini kwa wale waliokuwa likizo.
Jeshi hilo linapanga kuanza kuchukua hatua kwa wahusika.
CHANZO:JAMBO LEO
tatizo la wabongo midomo mingi bila hata ushahidi.
Ndiyo hawa jamaa katika zama hizi, kwenye maazimisho ya sherehe zao huwa wanavunja mawe na matofali kwa vichwa?