Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.
Inasadikiwa yule Kiongozi aliepotea katika mazigira ya kutatanisha amekimbilia humo Jf izo ni mbinu za kumtafuta...!!
 
Hivi, hakuna wajeda humu JF, what if ni wao ndio wanapost hizo post humu?
 
Namwamini Mzee Mwanakijiji kuliko hata Kikwete, he is better than Kikwete upstairs. Kudos brother
 
Last edited by a moderator:
Uwanja wa mapambano ni wapi? Nina kiwembe nataka nimchanje mmojawao.
 
Tulia wewe mmeyataka wenyewe, na kawaambie hao vigamba wenzio walioko huko jeiwii, waambie hilo ni la wananchi na wananchi wenyewe ndo sisi, tumejaa JF kibao!

Wameyataka nin mkuu?

Hivi kukanusha kitu kisicho na ukweli ni kosa?

Mfano mzuri kuhusu upotoshaji ni hii thread, JWTZ lilikanusha kuhusu likizo, lakini mleta mada anasema JWTZ latangaza vita na JF.

Mbona upotoshaji unaonekana wazi kabisa kwenye hii thread,
Sasa kati ya wewe na JWTZ nani anajichanganya?
 
Mkuu kwenye hiyo taarifa yao wamekana juu ya umiliki wa akaunti hiyo ya Tweeter na ile ya Facebook.

Mkuu mimi hapo ndio nachoka kabisaaaa
Account still inaendelea kuwapo hadi leo na ina twit, kama fake kwanini wasiiripoti ikafungwa?
Au kwanini wasitoe tangazo toka siku zinafunguliwa kwamba ni fake?
 
hata humu wanajeshi wamo kwa taarifa tu!; hili gazeti la jambo leo lisitake kumzuia muajiri kupata habari za muajiriwa! aripoti na watu wa google ambao wameanika habari zote za jwtz, kuanzia idadi ya askari, silaha, mbinu zetu za kivita, na rank yetu ni wangapi ktk afrika na dunia!
 
Ndiyo hawa jamaa katika zama hizi, kwenye maazimisho ya sherehe zao huwa wanavunja mawe na matofali kwa vichwa?
 
Ndiyo hawa jamaa katika zama hizi, kwenye maazimisho ya sherehe zao huwa wanavunja mawe na matofali kwa vichwa?

Wabadilike waache kuweka vijana wenye akili za miaka 47.Nguvu ya mitandao haiepukiki na nilitegemea wamejifunza kwenye mgogoro huu wa Rwanda.
 
Jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ) linapanga kuchukua hatua dhidi ya wale waliotoa taarifa za upotoshaji kuhusu jeshi hilo.Taarifa iliyotajwa na kuihusisha JF ni ile iliyopostiwa hapa JF iliyodai kusitishwa likizo na pia kuitwa kazini kwa wale waliokuwa likizo.

Jeshi hilo linapanga kuanza kuchukua hatua kwa wahusika.

CHANZO:JAMBO LEO

safi sana, kila kitu siasa, sasa watakiona cha moto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom