Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
Uliza maana kutokujua sheria sio sababu ya kutokuhukumiwa.Mi hata sielewielewi hapa mara ip.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliza maana kutokujua sheria sio sababu ya kutokuhukumiwa.Mi hata sielewielewi hapa mara ip.
kwani kusoma shule ya kata ni dhambi?wewe wadanganye wenzako,wangapi wanaopost taarifa muda huu wana uelewa huo ambao wewe unataka kuwalazimisha waamini?wewe mwenyewe hapo sasa hivi unatuimia hiyo software? tahadhari ni muhimu kwa kila kitu,uiswadanganye wenzako.
Wataweza kutukamata kwa njia hizi:
1. Kama unatumia modem maana yake unatumia line ya simu,na ukishaconect kwenye mtandao utatumia ip adress kufanya mawasiliano kutoka kwenye line yako kwenda kwenye server za JF nk
2. Line yako ya simu imesajiliwa na kampuni fulani ya simu kwa jina lako
3. Nani ana uhakika kuwa JF Admin (baadhi) hawawezi kutoa ip zetu na kuwapa JW halafu JW wakaenda kwenye kampuni za simu na ku match na line zetu?maana huwezi jua,hawa nao ni binadamu wanaweza kurubuniwa kwa zawadi au pesa na wakatuhujumu vile vile,
4. Kama una post maoni yako ukiwa kwenye internet cafe za mtaani ndio labda unaweza kusalimika,maana ni vigumu kumjua nini kinatumwa na mtumiaji wa computer kwenye cafe yako.
5. Sijajua sheria za Cyber zinasemaje lakini mpaka uje uchomoke kama watakutafuta na kukupata,na watu wenyewe JW utakuwa umeshaumia zamani sana,
Kikubwa mitandao hii sio salama sana,kila mtu aitumie vizuri kwa faida ya nchi yetu
Mungu ibariki Tanzania.
Wameyataka nin mkuu?
Hivi kukanusha kitu kisicho na ukweli ni kosa?
Mfano mzuri kuhusu upotoshaji ni hii thread, JWTZ lilikanusha kuhusu likizo, lakini mleta mada anasema JWTZ latangaza vita na JF.
Mbona upotoshaji unaonekana wazi kabisa kwenye hii thread,
Sasa kati ya wewe na JWTZ nani anajichanganya?
kuzoea hizi amri za 'nyuma geuka...' saa nyingine kumbe zinapitiliza. JWTZ sio malaika bali wako likely kufanya makosa kama binadamu au taasisi nyingine yoyote hasa hizi zetu za Kitanzania.sasa hao jwtz watawezaje kuwapata wahusika??
ni kweli habari ii iliwah kuletwa hapa na watu wakachangia lkn kama ni uongo si wakanushe tuu kwani ni mpaka waanze kuvutana mashati na mleta mada/mchangiaji??
naona sasa jwtz wanakosa mwelekeo manake kwao habari kuandikwa ndio ishu, ila kusema ukweli juu ya hali halisi, na pia kutupa mwelekeo hawataki.
Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.
Hakuna uhuru usio na mipaka,ni kujiheshimu tu ndio salama yako!!!!
Unapokuwa mtu mzima tunategemea uweze kusimamia maamuzi yako utapohitajika kufanya hivyo!!!!
Kuna mtu hapo anaongelea cafe de net hivi hizi simu modern kuna mtu anahangaika na cafee???!!!Siku hizi na bundles hizi???!!
Pamoja na ID anonymity cha muhimu ni ustaarabu tu na kujua mipaka yako!!!!
Heading ya thread kama hii pia ni ya kijinga sana na mods wapo wanaona,mimi huwa kuna muda najiuliza uwezo wa mods kuamua na kuchanganua mambo as well!!!
Wameyataka nin mkuu?
Hivi kukanusha kitu kisicho na ukweli ni kosa?
Mfano mzuri kuhusu upotoshaji ni hii thread, JWTZ lilikanusha kuhusu likizo, lakini mleta mada anasema JWTZ latangaza vita na JF.
Mbona upotoshaji unaonekana wazi kabisa kwenye hii thread,
Sasa kati ya wewe na JWTZ nani anajichanganya?
Mkuu, sasa ndo umenifumbua macho, yaani nilikua sijui kitu kuhusu muunganiko kati ya line zetu, IP address, jf server plus database system za makampuni ya simu. Kwa maelezo haya sasa ni wazi kua hakuna aliye salama ktk mitandao hii ya kijamii endapo "wakora" wataamua kufuatilia mtu mmoja baada ya mwingine.
Cha kuzingatia ni ushauri wako ulioutoa hapo mwishoni. Aisee mkuu, asante sana kwa kunipa elimu adhimu kuhusu mitandao.
Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.
TCRA nao watakupata kwa kuto taarifa za uongo,kikubwa watu wawe makini tu.binafsi najua kwamba kupatikana ni kazi rahisi sana lkn sasa je hadi wawapate wote waliochangia uzi wanafikiri ni kazi ndogo?? na je ili iwe nini??
inamaana wao wameshakuwa mafbi badala ya kuwa wanalinda amani na usalama??
kaka nipakulie na mim ulichovuna in summary
kwa maana hiyo wao wanazingatia habari za jf??TCRA nao watakupata kwa kuto taarifa za uongo,kikubwa watu wawe makini tu.