Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.
kwani kusoma shule ya kata ni dhambi?wewe wadanganye wenzako,wangapi wanaopost taarifa muda huu wana uelewa huo ambao wewe unataka kuwalazimisha waamini?wewe mwenyewe hapo sasa hivi unatuimia hiyo software? tahadhari ni muhimu kwa kila kitu,uiswadanganye wenzako.

Nitumie software kwani mimi muhalifu?katiba ya tz ibara 18 ni uhuru wa habari ili mradi usimtukane mtu au usi vunje sheria za nchi
 
Wataweza kutukamata kwa njia hizi:
1. Kama unatumia modem maana yake unatumia line ya simu,na ukishaconect kwenye mtandao utatumia ip adress kufanya mawasiliano kutoka kwenye line yako kwenda kwenye server za JF nk
2. Line yako ya simu imesajiliwa na kampuni fulani ya simu kwa jina lako
3. Nani ana uhakika kuwa JF Admin (baadhi) hawawezi kutoa ip zetu na kuwapa JW halafu JW wakaenda kwenye kampuni za simu na ku match na line zetu?maana huwezi jua,hawa nao ni binadamu wanaweza kurubuniwa kwa zawadi au pesa na wakatuhujumu vile vile,
4. Kama una post maoni yako ukiwa kwenye internet cafe za mtaani ndio labda unaweza kusalimika,maana ni vigumu kumjua nini kinatumwa na mtumiaji wa computer kwenye cafe yako.
5. Sijajua sheria za Cyber zinasemaje lakini mpaka uje uchomoke kama watakutafuta na kukupata,na watu wenyewe JW utakuwa umeshaumia zamani sana,
Kikubwa mitandao hii sio salama sana,kila mtu aitumie vizuri kwa faida ya nchi yetu
Mungu ibariki Tanzania.

kama wanategema usajili wa line bado wanachemka manake mbona wengi tuu wamesajili modem kwa majina ya uongo?? swala ni kwamba hata wakinikamata mimi na modem yangu, jina nililonalo sii la kwangu bado naweza kuwabambika wao.
 
Wameyataka nin mkuu?

Hivi kukanusha kitu kisicho na ukweli ni kosa?

Mfano mzuri kuhusu upotoshaji ni hii thread, JWTZ lilikanusha kuhusu likizo, lakini mleta mada anasema JWTZ latangaza vita na JF.

Mbona upotoshaji unaonekana wazi kabisa kwenye hii thread,
Sasa kati ya wewe na JWTZ nani anajichanganya?

Mkuu kwanini unasumbua kichwa chako hao wengi niwale wa shule ya kata wamemaliza darasa la 7 wapo hapa jamvini hawanawanacho kijua ni matusi tu na kuleta mada hazina kichwa wala miguu
 
sasa hao jwtz watawezaje kuwapata wahusika??

ni kweli habari ii iliwah kuletwa hapa na watu wakachangia lkn kama ni uongo si wakanushe tuu kwani ni mpaka waanze kuvutana mashati na mleta mada/mchangiaji??

naona sasa jwtz wanakosa mwelekeo manake kwao habari kuandikwa ndio ishu, ila kusema ukweli juu ya hali halisi, na pia kutupa mwelekeo hawataki.
kuzoea hizi amri za 'nyuma geuka...' saa nyingine kumbe zinapitiliza. JWTZ sio malaika bali wako likely kufanya makosa kama binadamu au taasisi nyingine yoyote hasa hizi zetu za Kitanzania.
Kitendo cha kuamua 'kukemea' ukweli badala ya kukanusha uongo katika habari yoyote huenda kikazidi kuwapeleka kusiko. Wapashaji habari kazi yao ni kuchokonoa mambo na aibu ya waandishi ni pale wanapoandika uongo na ikadhihirika.
 
Wazee wa vpn tunneling network hatukamatiki,, me IP yangu inaonesha nipo uswis
 
Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.

binafsi najua kwamba kupatikana ni kazi rahisi sana lkn sasa je hadi wawapate wote waliochangia uzi wanafikiri ni kazi ndogo?? na je ili iwe nini??
inamaana wao wameshakuwa mafbi badala ya kuwa wanalinda amani na usalama??
 
Hakuna uhuru usio na mipaka,ni kujiheshimu tu ndio salama yako!!!!
Unapokuwa mtu mzima tunategemea uweze kusimamia maamuzi yako utapohitajika kufanya hivyo!!!!
Kuna mtu hapo anaongelea cafe de net hivi hizi simu modern kuna mtu anahangaika na cafee???!!!Siku hizi na bundles hizi???!!

Pamoja na ID anonymity cha muhimu ni ustaarabu tu na kujua mipaka yako!!!!

Heading ya thread kama hii pia ni ya kijinga sana na mods wapo wanaona,mimi huwa kuna muda najiuliza uwezo wa mods kuamua na kuchanganua mambo as well!!!


Wakati nilipokuwa shule ya msingi kwenye somo la kiswahili ilikuwa unapewa habari fulani uisome kisha uitafutie kichwa cha habari. Kumbe somo lile lilikuwa na maana sana.

Hapa JF (na hata waandishi wetu wa magazeti) kuna tatitzo la watu kutokujua jinsi ya kubuni vichwa vya habari, mfano ni huyu aliyeleta hii habari. anaegemea kwenye hisia zake.
 
Wameyataka nin mkuu?

Hivi kukanusha kitu kisicho na ukweli ni kosa?

Mfano mzuri kuhusu upotoshaji ni hii thread, JWTZ lilikanusha kuhusu likizo, lakini mleta mada anasema JWTZ latangaza vita na JF.

Mbona upotoshaji unaonekana wazi kabisa kwenye hii thread,
Sasa kati ya wewe na JWTZ nani anajichanganya?

Mahadui wa Tanzania mada kama hizi, za kirizodoa jeshi ndo wanazipenda sana.
 
mbona wao hawashughuriki na kumhoji au kujuwa ukweli wa trilions of shillings za mkuu wao alizonazo ktk sccount yake amezipataje wnahangaikia na habari za JF wapuuzi hawa
 
Mkuu, sasa ndo umenifumbua macho, yaani nilikua sijui kitu kuhusu muunganiko kati ya line zetu, IP address, jf server plus database system za makampuni ya simu. Kwa maelezo haya sasa ni wazi kua hakuna aliye salama ktk mitandao hii ya kijamii endapo "wakora" wataamua kufuatilia mtu mmoja baada ya mwingine.

Cha kuzingatia ni ushauri wako ulioutoa hapo mwishoni. Aisee mkuu, asante sana kwa kunipa elimu adhimu kuhusu mitandao.

kaka nipakulie na mim ulichovuna in summary
 
Line za simu kwa kila mtandao zintumia ip moja hivyo msidanganyike nakuogopa kukamatwa siyo rahisi!
 
Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.

nadhani nia ya JWTZ nikutaka habari zinazo wahusu wao wazitoe wenyewe na sikila mwenye desktop akijiskia au akiwa nahabari zake za kimbea kujisambazia kama wafanyavyo wengi humu,utoaja wa taarifa una athari kubwa sana tofauti na wengi tunavyodhani hasa kwachombo kikubwa na nyeti kama JW
 
binafsi najua kwamba kupatikana ni kazi rahisi sana lkn sasa je hadi wawapate wote waliochangia uzi wanafikiri ni kazi ndogo?? na je ili iwe nini??
inamaana wao wameshakuwa mafbi badala ya kuwa wanalinda amani na usalama??
TCRA nao watakupata kwa kuto taarifa za uongo,kikubwa watu wawe makini tu.
 
sasa hii siielewi

Jeshi limuangalie msemaji wao, kama hata habari za JF zinatangaziwa vita, basi lazima hii nchi ina matatizo.... mwizi hakimbizwi kwa kelele, wangekimbiza tu kimya-kimya

Sasa na hapa sijui watatumia silaha gani??
 
kaka nipakulie na mim ulichovuna in summary

Baada ya kusoma maelezo ya niliyekua namjibu hiyo post uliyoinukuu nimegundua kwamba mitandao ya kijamii karibu yote si mahala pa kujidai na kujiachia maana kumbe unaweza kufuatiliwa na kukamatwa na mtu asiyekutakia mema. Kupatikana kwako kutawezeshwa na wamiliki wa mtandao husika kutoa IP address yako na kisha hiyo IP address kufuatiliwa kwa namna watakayoweza ili kukupata. Ni hivyo tu mkuu.
 
TCRA nao watakupata kwa kuto taarifa za uongo,kikubwa watu wawe makini tu.
kwa maana hiyo wao wanazingatia habari za jf??
kma ndivyo basi nakubali ule msemo wa badhi ya memba kwamba serikali yetu inaongozwa na taarifa za jf
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom