Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

"Tanzaniaa Tanzaniaa, nakupenda kwa moyo wote, Nchi yaangu Tanzania, Jina lako ni tamu sana..."
(Huku nmeweka mkono kifuani)

KFC.!!! PEGE..!!
 
Hii nchi ina mambo ya kijinga sana...what is this...
Huyu waziri ni mtu wa ajabu sana..apeleke watoto wake wakasome hayo mauozo...
Haya ni matatizo ya kuishi kwa kukariri mimi sijaona kama kuna tatizo hapo na hata hivyo bado hazitoshi hizi combi zinahitaji uwanja mpana zaid wa wanafunzi kijifunza
 
PEGE ataenda kusomea Early Childhood education, hata Adult Education pia, akafundishe daycare pre primary na Primary schools, michezo na mchakamchaka, na kutoa huduma za kwanza michezoni
 
Hicho ki Chinese chenyewe cha ukubwani mbona vituko. Enewei acha tutest π€¥π√%£?
Kuanzia kusomea Fm four sio mbaya, wala sio ukubwani sana...mbona kuna watu wanasoma French au Spanish as 3rd language wakiwa wakubwa kabisa
 
Sahihi kabisa
 
Hivi wizara ya elimu inashughulika na mambo yapi?
 
Hii hapana jamani.. pls no..
Jamani jamani. Watoto wetu wanaharibiwa future hivi hiv..
Compyuta advance ni ya nini si iwe kama GS tu..
Pls pls noo
Computer ni pana kuliko unavyofikiria.. kusoma miaka minne chuoni hakukufanyi uwe na uwezo wa kutosha kumkamata Kigogo.. serikali imetumia jicho la mbali sana nnchi kama Uiingereza inalalamika kukosa wataalam wakutosha wa computer kutokana na kushindwa kuwaandaa mapema wanafunzi wakiwa bado wadogo.

Binafsi nadhani kwa hili serikali inastahili pongezi..
 
Pongezi za kupotezeana muda... computa wasome hata kuanzia primary, advance iwe compulsory, huo upana unaousema ni upi, coding? Acheni hizo bhana...
Chuo kikuu mtoto atachagua mwenyewe
Naona na mambo ya fine arts mnaleta advance yani mradi ujinga ujinga tu...
 
Sawa na vyuoni wataenda kusoma kozi gani?

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Mama hana hata mwezi, tayari tushaletewa na KFC mashuleni
😊
bado subway tu sasa hapo...shida sio kombi shida ni zitaleta tija kweli au ndo porojo na warning letter yake muheshimiwa
 
nadhani kungekua naupya kama ujasiriamali ungekuwepo ndani lakini hizo mpya sasa mmhh??kitendawili tega tega nikutege mwiba...
 
Hakuna HKL na HGK walio mtaani hizo si taaluma ni Combination
 
Mkuu
Wenzetu wanakuwa active kwenye uvumbuzi Kwa sababu ya specialization tena wakiwa toka watoto
Africa hatuna uvumbuzi wowote Kwa sababu wanasayansi wetu wanaanza kuspecialize miaka 12 toka waanze kusoma , tena baada ya kuwa spoiled na masomo yasiyo na tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…