Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

1.PEGE×...
2.PEBFA×
2.KFC✓
3.KEC✓.
4.PMC✓ ✓✓

*mtu wa PEGE,chuo kikuu ataomba kozi gani?...,hapa ni kuwapoteza wadogo zetu,mwisho wa siku no.future.
*mtu wa PEBFA,chuo kikuu ataomba kozi gani. hapa pole kwa wadogo zetu,mwisho wa siku no.future.
*at least hawa wa KFC,KEC,chuo kikuu Wanapata coz .

Je ni kweli serikali inauhitaji wa wataalamu wa haya Mambo ya PEGE,PEBFA,KFC,KEC??.kinachofanywa na serikali kwa kweli ni sawa na hizi chanjo za covid,ambazo unachanjwa halafu daktari anakwambia endelea kuchukua tahadhari vaa barakoa,epuka msongamano n.k.[emoji23][emoji23][emoji23]

Nakumbuka Kuna kipindi walianzisha kozi ya community health kwa level ya certificate,watoto wakaenda kibao kusoma,baada yapo,hakuna kilichoendelea,ikaishia hapo hapo level ya certificate.kuna wale wachache mwaka juz nadhani waliajiriwa na wizara ya afya,lakini pia hawa wamepigwa lock.maana yake coz yao imeishia level ya certificate.[emoji23][emoji23].yaani serikali inaanzisha vitu ambavyo haijui baadae namna ya kuviendeleza!!!
 
Kula kuku za KFC utaelewa tu
Kuna vitu huwezi kuelewa mpaka uwe upo kwenye field husika.. dunia imebadilika sana inatakiwa twende na speed ileike inayofaa mfano HKL,HGK n.k tayari wapo wa kutosha mtaani hauoni kama mtaala mpya utapanua soko jipya la ajira mfano mtu akisoma kichina combined na Kiingereza na Kiswahili huyu mtu huoni atakuwa na market sana kwenye hii dunia yetu kwa sasa??
 
Serikali imetangaza kuanza kwa Tahasusi (Combination) mpya tano kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia Kidato cha Tano mwaka 2021 ili kuondoa changamoto ya ukosefu wa Wataalamu Nchini.

combi-pic.jpeg

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Seleman Jafo amesema Tahasusi hizo ni Fizikia, Hesabu na Kompyuta (PMC), Kiswahili, French na Chinese (KFC), Kiswahili, English na Chinese (KEC), Physical Education, Biology na Fine Art (PEBFA) na Physical Education, Geography, Economics (PEGE).

Jafo amesema Tahasusi ya PMC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Dodoma ambayo itakuwa maalumu kwa Wasichana ambapo kwa Wavulana itakuwa Sekondari ya Wavulana ya Iyunga.

Tahasusi ya KFC na KEC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Morogoro na ya Wavulana Usagara wakati PEBFA na PEGE itatolewa Sekondari ya Wasichana Makambako, Sekondari ya Wavulana Kibiti na Sekondari ya Mpwapwa.

IMG_6991.jpg
Haaahahaha nimekubali PEGE na KFC.
 
Uongo, Chinese ni watu na lugha wanayozungumza zaidi huku ni Mandarin

He meant Mandarin I hope, yaani hilo kosa kubwa sana la kiufundi wanachotakiwa wizara ya Elimu kukirekebisha kabla hatujachekwa na Kenyans n the rest of the world...
Chinese is an umbrella language term that encompasses multiple dialects/languages, including Mandarin, Cantonese, Hakka, and more. When you look at it closely, there are actually over 200 dialects of Chinese!
 
Hii hapana jamani.. pls no..
Jamani jamani. Watoto wetu wanaharibiwa future hivi hiv..
Compyuta advance ni ya nini si iwe kama GS tu..
Pls pls noo
 
Back
Top Bottom