Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

Haya mambo. Yananikumba kipindi naanza form one, Tuliletewa Physics with chemistry tulienda nayo miezi 6 ivi( kama sijasahau. Baadae yalifutwa tukawa na masomo mawili yaani physics and chemistry. Mpaka tunamaliza mwaka hatukumaliza hata nusu topic za form one.
Kila la heri kwa wadogo wetu.
 
Jamani mbona mnataka kuzika elimu, acheni uzwazwa rudisheni elimu wizara ya elimu. Hao TAMISEMI waachieni mambo ya kujenga vyoo, stendi, kupiga nyungu na kukimbiza mwenge, seriously!!!
 
Serikali imetangaza kuanza kwa Tahasusi (Combination) mpya tano kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia Kidato cha Tano mwaka 2021 ili kuondoa changamoto ya ukosefu wa Wataalamu Nchini.

combi-pic.jpeg

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Seleman Jafo amesema Tahasusi hizo ni Fizikia, Hesabu na Kompyuta (PMC), Kiswahili, French na Chinese (KFC), Kiswahili, English na Chinese (KEC), Physical Education, Biology na Fine Art (PEBFA) na Physical Education, Geography, Economics (PEGE).

Jafo amesema Tahasusi ya PMC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Dodoma ambayo itakuwa maalumu kwa Wasichana ambapo kwa Wavulana itakuwa Sekondari ya Wavulana ya Iyunga.

Tahasusi ya KFC na KEC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Morogoro na ya Wavulana Usagara wakati PEBFA na PEGE itatolewa Sekondari ya Wasichana Makambako, Sekondari ya Wavulana Kibiti na Sekondari ya Mpwapwa.

IMG_6991.jpg
PEGE for life
 
What is physical education and Fine art ?
The Fine Arts are an integral part of education at Concord Elementary School. The primary goal is to foster the personal growth of our students in the areas of Visual Art and Music. Instruction in Visual Arts and Music provides developmentally appropriate methods of exploring, creating and learning. Students learn and develop self-expression, creativity, aesthetic awareness, teamwork and self-discipline.

Students are encouraged to participate in the Third and Fourth Grade Junior Chorus, Fourth Grade Art Club and Fourth Grade Beginning Band outside of their regular Art and Music classes. These students will learn and expand their knowledge of Visual and Performing Arts skillfully and artistically.

Definition of physical education

: instruction in the development and care of the body ranging from simple calisthenic exercises to a course of study providing training in hygiene, gymnastics, and the performance and management of athletic games
 
Jamani mbona mnataka kuzika elimu, acheni uzwazwa rudisheni elimu wizara ya elimu. Hao TAMISEMI waachieni mambo ya kujenga vyoo, stendi, kupiga nyungu na kukimbiza mwenge, seriously!!!
Kabisa maana watatuharibia elimu yetu
 
The Fine Arts are an integral part of education at Concord Elementary School. The primary goal is to foster the personal growth of our students in the areas of Visual Art and Music. Instruction in Visual Arts and Music provides developmentally appropriate methods of exploring, creating and learning. Students learn and develop self-expression, creativity, aesthetic awareness, teamwork and self-discipline.

Students are encouraged to participate in the Third and Fourth Grade Junior Chorus, Fourth Grade Art Club and Fourth Grade Beginning Band outside of their regular Art and Music classes. These students will learn and expand their knowledge of Visual and Performing Arts skillfully and artistically.

Definition of physical education

: instruction in the development and care of the body ranging from simple calisthenic exercises to a course of study providing training in hygiene, gymnastics, and the performance and management of athletic games

Uhusiano wa hayo masomo sasa na unamjenga vipi mtoto kuwa nani
 
Kichina kweli ?
kwenye viwanja vya ndege unakuta lugha wanayotumia kuhabarisha wasafiri ni kiswahili, kiinglish na kichina, siku 1 nikaanza kumtafta mchina, hakuna hata mmoja nikajiuliza hawa watu wana maana gani? yawezekana ni shinikizo toka beberu la china.
 
Back
Top Bottom