Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

Ila Tamisemi kuipa jukumu la kusimamia hii elimu ni kuwaonea tu,

Wangeipa tu wizara ya elimu isimamie elimu ya msingi hadi ya juu, tukijifanya kama hatuoni tutakuja vuna matakataka pale. Ukisikia kitu kinasimamiwa na Tamisemi kila mmoja ni mtaalam na mwenye maamuzi, si wenyeviti wa mitaa, diwani, Mbunge na kila mwenye kanafasi.
 
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom