Hapa ndipo sioni mahusianoWhat is physical education and Fine art ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo sioni mahusianoWhat is physical education and Fine art ?
Haya ni matatizo ya kuishi kwa kukariri mimi sijaona kama kuna tatizo hapo na hata hivyo bado hazitoshi hizi combi zinahitaji uwanja mpana zaid wa wanafunzi kijifunzaHii nchi ina mambo ya kijinga sana...what is this...
Huyu waziri ni mtu wa ajabu sana..apeleke watoto wake wakasome hayo mauozo...
Kuwa ManaraUhusiano wa hayo masomo sasa na unamjenga vipi mtoto kuwa nani
PEGE ataenda kusomea Early Childhood education, hata Adult Education pia, akafundishe daycare pre primary na Primary schools, michezo na mchakamchaka, na kutoa huduma za kwanza michezoni1.PEGE×...
2.PEBFA×
2.KFC✓
3.KEC✓.
4.PMC✓ ✓✓
*mtu wa PEGE,chuo kikuu ataomba kozi gani?...,hapa ni kuwapoteza wadogo zetu,mwisho wa siku no.future.
*mtu wa PEBFA,chuo kikuu ataomba kozi gani. hapa pole kwa wadogo zetu,mwisho wa siku no.future.
*at least hawa wa KFC,KEC,chuo kikuu Wanapata coz .
Je ni kweli serikali inauhitaji wa wataalamu wa haya Mambo ya PEGE,PEBFA,KFC,KEC??.kinachofanywa na serikali kwa kweli ni sawa na hizi chanjo za covid,ambazo unachanjwa halafu daktari anakwambia endelea kuchukua tahadhari vaa barakoa,epuka msongamano n.k.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka Kuna kipindi walianzisha kozi ya community health kwa level ya certificate,watoto wakaenda kibao kusoma,baada yapo,hakuna kilichoendelea,ikaishia hapo hapo level ya certificate.kuna wale wachache mwaka juz nadhani waliajiriwa na wizara ya afya,lakini pia hawa wamepigwa lock.maana yake coz yao imeishia level ya certificate.[emoji23][emoji23].yaani serikali inaanzisha vitu ambavyo haijui baadae namna ya kuviendeleza!!!
Kuanzia kusomea Fm four sio mbaya, wala sio ukubwani sana...mbona kuna watu wanasoma French au Spanish as 3rd language wakiwa wakubwa kabisaHicho ki Chinese chenyewe cha ukubwani mbona vituko. Enewei acha tutest π€¥π√%£?
Sahihi kabisaKuna vitu huwezi kuelewa mpaka uwe upo kwenye field husika.. dunia imebadilika sana inatakiwa twende na speed ileike inayofaa mfano HKL,HGK n.k tayari wapo wa kutosha mtaani hauoni kama mtaala mpya utapanua soko jipya la ajira mfano mtu akisoma kichina combined na Kiingereza na Kiswahili huyu mtu huoni atakuwa na market sana kwenye hii dunia yetu kwa sasa??
Mimi pia MkuuHii nilikuwa naitamani tokea zamani itawasaidia wadogo zetu,sisi wengine kidogo tulipata tabu mwanzoni.
Computer ni pana kuliko unavyofikiria.. kusoma miaka minne chuoni hakukufanyi uwe na uwezo wa kutosha kumkamata Kigogo.. serikali imetumia jicho la mbali sana nnchi kama Uiingereza inalalamika kukosa wataalam wakutosha wa computer kutokana na kushindwa kuwaandaa mapema wanafunzi wakiwa bado wadogo.Hii hapana jamani.. pls no..
Jamani jamani. Watoto wetu wanaharibiwa future hivi hiv..
Compyuta advance ni ya nini si iwe kama GS tu..
Pls pls noo
Pongezi za kupotezeana muda... computa wasome hata kuanzia primary, advance iwe compulsory, huo upana unaousema ni upi, coding? Acheni hizo bhana...Computer ni pana kuliko unavyofikiria.. kusoma miaka minne chuoni hakukufanyi uwe na uwezo wa kutosha kumkamata Kigogo.. serikali imetumia jicho la mbali sana nnchi kama Uiingereza inalalamika kukosa wataalam wakutosha wa computer kutokana na kushindwa kuwaandaa mapema wanafunzi wakiwa bado wadogo.
Binafsi nadhani kwa hili serikali inastahili pongezi..
Sawa na vyuoni wataenda kusoma kozi gani?Serikali imetangaza kuanza kwa Tahasusi (Combination) mpya tano kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia Kidato cha Tano mwaka 2021 ili kuondoa changamoto ya ukosefu wa Wataalamu Nchini.
![]()
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Seleman Jafo amesema Tahasusi hizo ni Fizikia, Hesabu na Kompyuta (PMC), Kiswahili, French na Chinese (KFC), Kiswahili, English na Chinese (KEC), Physical Education, Biology na Fine Art (PEBFA) na Physical Education, Geography, Economics (PEGE).
Jafo amesema Tahasusi ya PMC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Dodoma ambayo itakuwa maalumu kwa Wasichana ambapo kwa Wavulana itakuwa Sekondari ya Wavulana ya Iyunga.
Tahasusi ya KFC na KEC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Morogoro na ya Wavulana Usagara wakati PEBFA na PEGE itatolewa Sekondari ya Wasichana Makambako, Sekondari ya Wavulana Kibiti na Sekondari ya Mpwapwa.
![]()
bado subway tu sasa hapo...shida sio kombi shida ni zitaleta tija kweli au ndo porojo na warning letter yake muheshimiwaMama hana hata mwezi, tayari tushaletewa na KFC mashuleni
😊
tutajua hapohapo kwanza wasome kwanza mengne baadae ..sawa??
na zimwi likujualo halikuli likakumaliza pia..umesahau hiyo nayoo??Mufa Maji haishi kutapatapa.
Hakuna HKL na HGK walio mtaani hizo si taaluma ni CombinationKuna vitu huwezi kuelewa mpaka uwe upo kwenye field husika.. dunia imebadilika sana inatakiwa twende na speed ileike inayofaa mfano HKL,HGK n.k tayari wapo wa kutosha mtaani hauoni kama mtaala mpya utapanua soko jipya la ajira mfano mtu akisoma kichina combined na Kiingereza na Kiswahili huyu mtu huoni atakuwa na market sana kwenye hii dunia yetu kwa sasa??
MkuuLengo la elimu ni nini? Tuanzie hapo kwanza. Kama lengo ni kumwezesha binadamu kuyaelewa mazingira yake katika upana wake wa jumla ni muhimu sana kumpa mtoto mwangaza mzima wa mambo yalivyo katika ulimwengu japo kwa juu juu. Ndicho kinachofanyika karibu duniani kote katika katika miaka ya mwanzo mwanzo. Kumpa binadamu angalau fununu tu ya ulimwengu huu ulivyo; na akishaipata fununu hiyo basi achague mwenyewe ni wapi anataka kuelekea.
Ukikazana watoto waspecialize tangu shule za awali utatengeneza taifa la wajinga ambao watakuwa wanajua tu kaeneo kao kadogo walikosomea na kujibana tangu awali. Ningekuelewa sana kama ungesema pengine tunachelewa mno kuwapa watoto nafasi ya kuspecialize na tungeweza kuanzia kidato cha tatu huko wakishafanya mtihani wa kidato cha pili lakini kusema kuwa waanzie kuspecialize tangu shule za awali au msingi hapana. Na sijui kama kuna taifa hapa duniani ambalo linafanya hivyo.