Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

UDOM: DEGREE PROGRAMMES IN THE SCHOOL OF HUMANITIES

The school of Humanities offers the following undergraduate degree programmes leading to attainment of Bachelor degree:
1. Bachelor of Arts in Kiswahili
2. Bachelor of Arts in Kiswahili Literature
3. Bachelor of Fine Arts and Design

4. Bachelor of Arts in Theatre and Film
5. Bachelor of Arts in English
6. Bachelor of Arts in Literature
7. Bachelor of Arts in French

8. Bachelor of Arts in Arabic
9. Bachelor of Arts in Japanese
10. Bachelor of Arts in Korean
11. Bachelor of Arts in Russian
12. Bachelor of Arts in History
13. Bachelor of Arts in Cultural Heritage and Tourism
14. Bachelor of Arts in Translation and Interpretation
15. Bachelor of Arts with Education

Bachelor of Arts with Education

Programme Specification

The main aim of the programme is to provide aspirants with opportunities to become diversified in terms of skills and knowledge so as to expand their employability chances on the global labour market. In this respect, the programme prepares high-quality teachers for secondary schools and opens-up space for diversification in skills and knowledge. Courses to be taken by BA(ED) students from teaching subjects will be decided in collaboration between the respective departments in the School of Humanities. But we expect students to select two teaching subjects (Major and Minor) from among the following: Kiswahili Linguistics, Kiswahili Literature, English, Arabic, Fine Arts and Design, Theatre and Film, Arabic, Literature in English, French, Korean, Chinese, Japanese, History, Economics, Accounting, Geography, Tourism and Cultural Heritage.
 
Mkuu
Wenzetu wanakuwa active kwenye uvumbuzi Kwa sababu ya specialization tena wakiwa toka watoto
Africa hatuna uvumbuzi wowote Kwa sababu wanasayansi wetu wanaanza kuspecialize miaka 12 toka waanze kusoma , tena baada ya kuwa spoiled na masomo yasiyo na tija.
Nipe mfano wa taifa ambako watoto wanaanzia specialization wakiwa shule za awali tufunge mjadala [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Kufanya uvumbuzi kuna sababu nyingi sana na naweza kuzidadavua hapa ukitaka. Naijua mifumo mingi ya elimu pia na nina bahati ya kusomea huko huko unakodai wanafanya uvumbuzi. Tena kama huko Marekani waweza kujikuta Chuo kikuu unalazimishwa kusoma makozi ya awali ambayo hayatakusaidia kabisa mfano Geometry, Algebra na Calculus hata kama umesema unataka kuwa mwandishi wa habari au mwalimu wa lugha. Wanaamini kuwa masomo hayo yatakupanua kichwa na kuimarisha uwezo wako wa kufikiri. Tuwe na mawanda mapana tunapojadili haya mambo.
 
Nilipokuwa secondary miaka ya nyuma kidogo tulikuwa tunamasomo 12 yaan form 1 adi 4 na yote ni lazima uwe vizuri kilazima,,, ilinichangia sana kwenye kufeli aiseee[emoji24]. Tulibebeshwa mizigo ya masomo kama punda
 
"Data science" ni tizi si kila mtu awe Programmer itaharibu soko la Ajira iwe kama Education rn
Ondoa suala la kuajiriwa tunataka watu wajiajiri. Computer Science wanapaswa kusoma kuanzia shule ya msingi.
Acha kudhani kwamba mkiwa wachache ndio utaajiriwa
 
Nani amefanikiwa kubadilisha combination kwenye huu mfumo?
 
Ni bahati mbaya sana Watu tunachangia Kihisia zaidi huku tukikosoa ( kumkosoa ) mno aliyetangaza.

Ukituliza ( mkituliza ) Akili zenu na Kutafakari kwa Kina hizo ( hizi ) Tahasusi ( Combinations ) za Kitaaluma ( Kielimu ) ni nzuri kwa Nyakati tuliopo na zina Tija vile vile.

Watanzania Kukosoa ( Kuhoji ) mambo ( masuala ) ni haki yetu ila kabla ya Kukosoa huko tuwe tunatakari kwa Kina hadi Kujiridhisha Kimantiki.

Nina uhakika Tangazo hili asingelitoa Waziri husika TAMISEMI Suleiman Jafo ambaye sasa anachukiwa huku akihukumiwa kwa Itikadi zetu za Siasa wala asingepingwa hivi na lingekubalika na wengi.

Binafsi ninaipongeza tu Serikali kwa hili.
sawa mkuu,ila hazifunguki hizo tahasusi mpya,unaambiwa hazipo!
 
Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020

Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa Kidato cha Tano na vyuo mwaka 2021.

Amesema Waziri Jafo Zoezi hili litafanyika kuanzia tarehe 29/03/2021 hadi tarehe 11/04/2021 saa sita usiku. Hivyo, wanafunzi wanaotaka kufanya mabadiliko wanatakiwa kuingia kwenye mfumo wa uchaguzi wa wanafunzi unaopatikana katika anuani ya selform tamisemi

Mwisho ni kutangazwa kwa Tahasusi mpya zilizoanzishwa kwa wanafaunzi wa kidato cha Tano, mwaka 2021 kama ifuatavyo:-
1. Physics, Mathematics, Computer studies (PMC) watasoma shule ya sekondari Dodoma ni wasichana na Shule ya sekondari ya ufundi Iyunga ni wavulana.

2. Kiswahili, French, Chinese (KFC) watasoma sekondari ya Morogoro ni wasichana na wavulana watasoma sekondari ya Usagara.

3. Kiswahili, English ,Chinese(KEC) watasoma sekondari ya Morogoro ni wasichana na wavulana watasoma sekondari ya Usagara.

4. Physical Education,Biology, Fine Arts (PBF) watasoma wasichana shule ya sekondari Makambako na wavulana wao ni sekondari ya Kibiti. Pia, shule ya sekondari ya Mpwapwa ni kwa ajili ya wasichana na wavulana kwa tahasusi ya PBF !

5. Physical Education, Geography,Economics (PGE) watasoma wasichana shule ya sekondari Makambako na wavulana wao ni sekondari ya Kibiti. Pia, shule ya sekondari ya Mpwapwa ni kwa ajili ya wasichana na wavulana kwa tahasusi ya PGE !
View attachment 1737742

ULINGANIFU WA TAARIFA ZILIZOINGIZWA KWENYE MFUMO SELFORM TAMISEMI

Yakupasa ujue kwamba:
  • Endapo umesema kwenye B kuwa utaenda Form V, basi lazima uchague combination eneo la C.1
  • Endapo umesema kwenye B kuwa utaenda Technical, basi lazima uchague Kozi eneo la C.2
  • Endapo umesema kwenye B kuwa utaenda Kozi za Afya (Health), basi lazima uchague Kozi eneo la C.3
  • Endapo umesema kwenye B kuwa utaenda Kozi za Ualimu (Diploma), basi lazima uchague Kozi eneo la C.4

Mwisho ni muhimu kuhakiki taarifa zilizoingizwa kwenye mfumo wa selform Tamisemi kupitia >>> Badilisha tahasusi
 
Habari...

Nimesahau password yangu ya selform, naitaji ku-log in nibadili combination. Msaada tafadhali.
 
Si kuna option ya kubadilisha password?
Nimejaribu lkn sijafanikiwa. Inatokea hivi.
Screenshot_20210412-095751.jpg
 
Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020

Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa Kidato cha Tano na vyuo mwaka 2021.

Amesema Waziri Jafo Zoezi hili litafanyika kuanzia tarehe 29/03/2021 hadi tarehe 11/04/2021 saa sita usiku. Hivyo, wanafunzi wanaotaka kufanya mabadiliko wanatakiwa kuingia kwenye mfumo wa uchaguzi wa wanafunzi unaopatikana katika anuani ya selform tamisemi

Mwisho ni kutangazwa kwa Tahasusi mpya zilizoanzishwa kwa wanafaunzi wa kidato cha Tano, mwaka 2021 kama ifuatavyo:-
1. Physics, Mathematics, Computer studies (PMC) watasoma shule ya sekondari Dodoma ni wasichana na Shule ya sekondari ya ufundi Iyunga ni wavulana.

2. Kiswahili, French, Chinese (KFC) watasoma sekondari ya Morogoro ni wasichana na wavulana watasoma sekondari ya Usagara.

3. Kiswahili, English ,Chinese(KEC) watasoma sekondari ya Morogoro ni wasichana na wavulana watasoma sekondari ya Usagara.

4. Physical Education,Biology, Fine Arts (PBF) watasoma wasichana shule ya sekondari Makambako na wavulana wao ni sekondari ya Kibiti. Pia, shule ya sekondari ya Mpwapwa ni kwa ajili ya wasichana na wavulana kwa tahasusi ya PBF !

5. Physical Education, Geography,Economics (PGE) watasoma wasichana shule ya sekondari Makambako na wavulana wao ni sekondari ya Kibiti. Pia, shule ya sekondari ya Mpwapwa ni kwa ajili ya wasichana na wavulana kwa tahasusi ya PGE !
View attachment 1737742

Kwa msaada wa ku-ufundi au tatizo lolote wasiliana na dawati la msaada
Simu: 0262323609 au 0262320028 au andika barua pepe: helpdesk@tamisemi.go.to
Au wasiliana na waandaji kwa barua pepe ps@tamisemi@go.tz
 
Kwa msaada wa kuifundi au tatizo lolote wasiliana na dawati la msaada kupewa ufumbuzi

Back
Top Bottom