Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unapenda kuwajulisha kuwa, leo tarehe 26 Agosti 2026 Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu - Natal nchini Afrika Kusini watawasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), mnamo Saa 12 Jioni kwa Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Ubalozi unawatakia safari njema na maisha mema katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Soma Pia: Watanzania Afrika Kusini waanza kurejea nyumbani
Ubalozi unawatakia safari njema na maisha mema katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Soma Pia: Watanzania Afrika Kusini waanza kurejea nyumbani