Elisha Sarikiel
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 905
- 1,540
Hongera kwa kila aliyeteuliwa jina lake kuongeza elimu kwa manufaa ya nchi.Hongera naona safari yako ya Alexandria univesity imewiva.
Inategemea nafasi kulingana bajeti ya ufadhili iliyotengwa🤣Mambo magumu ni watatu tu wamepata nafasi ya kusoma ng'ambo.
Kuna hitaji la wataalamu wa serikali watakaoshauri kwenye MABARAZA KAMA YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALAAisee nimeona kuna jamaa amepangiwa master ya Traditional Medicine..hyu anakwenda kufanya kazi wapi? Is it potential in Tanzania and worldwide?
Tazama mkataba kwa waliopata udhamini wa masomo juu kupitia PDF [AGREEMENT FOR CANDIDATES ATTENDING COURSE OF INSTRUCTIONS]Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu unahusisha kulipiwa gharama za ada kwa kipindi chote cha masomo pamoja na posho ya utafiti.
Mwisho niambatanisha Pdf ya majina hapa chini waliopata ufadhili na kupata nakala ya mkataba wa makubaliano ya Ufadhili (Bonding Agreement) unapatikana kwenye tovuti ya Wizara www.moh.go.tz.
Ppp lkn unapatajTazama mkataba kwa waliopata udhamini wa masomo juu kupitia PDF [AGREEMENT FOR CANDIDATES ATTENDING COURSE OF INSTRUCTIONS]