Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

Elisha Sarikiel

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
905
Reaction score
1,540
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu unahusisha kulipiwa gharama za ada kwa kipindi chote cha masomo pamoja na posho ya utafiti.

Mwisho niambatanisha Pdf ya majina hapa chini waliopata ufadhili na kupata nakala ya mkataba wa makubaliano ya Ufadhili (Bonding Agreement) unapatikana kwenye tovuti ya Wizara www.moh.go.tz.

1610707776655.png
 
Attachments

Mambo magumu ni watatu tu wamepata nafasi ya kusoma ng'ambo.
 
Aisee nimeona kuna jamaa amepangiwa master ya Traditional Medicine..hyu anakwenda kufanya kazi wapi? Is it potential in Tanzania and worldwide?
 
Kuna hitaji la wataalamu wa serikali watakaoshauri kwenye MABARAZA KAMA YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu unahusisha kulipiwa gharama za ada kwa kipindi chote cha masomo pamoja na posho ya utafiti.

Mwisho niambatanisha Pdf ya majina hapa chini waliopata ufadhili na kupata nakala ya mkataba wa makubaliano ya Ufadhili (Bonding Agreement) unapatikana kwenye tovuti ya Wizara www.moh.go.tz.

Tazama mkataba kwa waliopata udhamini wa masomo juu kupitia PDF [AGREEMENT FOR CANDIDATES ATTENDING COURSE OF INSTRUCTIONS]
 
Attachments

Back
Top Bottom