U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Sep 18, 2021 #1 Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima Mungu kwanza mengine baadaye
Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima Mungu kwanza mengine baadaye
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Sep 18, 2021 #2 ahsante sana Mkuu. tunajielekeza huko.
GREAT NAME JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 1,078 Reaction score 1,718 Sep 18, 2021 #3 mbalikiwe sana kwa kazi ya MUNGU
M Mazaya JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 859 Reaction score 761 Sep 18, 2021 #4 Amina Sana Mungu akuongoze
B Bunyamboh Senior Member Joined Sep 22, 2017 Posts 170 Reaction score 282 Sep 18, 2021 #5 zandrano said: ahsante sana Mkuu. tunajielekeza huko. Click to expand... "Tusihukumu tusije hukumiwa"Hallelujah zandrano na wewe unamjua Mungu?Na wewe unatambua kuwa Yesu Kristo ni Bwana?Na wewe unaijua Sabato?Na wewe unajua ubatizo wa Toba na wewe unaijua hukumu.Nimefurahi na kuhuzunika moyoni kwa akili yako.
zandrano said: ahsante sana Mkuu. tunajielekeza huko. Click to expand... "Tusihukumu tusije hukumiwa"Hallelujah zandrano na wewe unamjua Mungu?Na wewe unatambua kuwa Yesu Kristo ni Bwana?Na wewe unaijua Sabato?Na wewe unajua ubatizo wa Toba na wewe unaijua hukumu.Nimefurahi na kuhuzunika moyoni kwa akili yako.
Z zefa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 440 Reaction score 300 Sep 18, 2021 #6 Blessed Sana kwa taatifa Mungu ni wetu sote
Johnny Impact JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 5,502 Reaction score 9,070 Sep 18, 2021 #7 Nawajua sana hao. Walinidhulumu na pesa yangu. Nilifanya kazi ya ujenzi hapo kanisani. Wakanidhulumu na pesa yangu. Nawakumbuka sana hao wasabato
Nawajua sana hao. Walinidhulumu na pesa yangu. Nilifanya kazi ya ujenzi hapo kanisani. Wakanidhulumu na pesa yangu. Nawakumbuka sana hao wasabato