nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Hiyo hapo inajieleza yenyewe anaitwa Morgan Ortagus, kasema bashite kazuiliwa kuingia USA kwa sababu ya kukandamiza upinzani,haki ya kujieleza (alivyo hovyo bashite akashikia kidedea ka issue cha face swap cha Idris sultan na kusababisha nchi nzima tuchekwe mtandaoni).
Mishowe msemaji huyo wa Wizara ya Mambo ya Nje ya USA anasema ni lazima serikali ya Tanzania iheshimu haki za binadamu na kuwachukulia hatua wote wanaozivunja kama kina Hery kisanduku ambao wamepelekwa pemba kwa sasa