nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Yaa, kujikita kwenye hoja ya ushoga haitasaidia sana kwa sababu bado itabaki kwenye utashi wa mtu binafsi, kuna mambo mengine ambayo wameyaelezea, kama maswala ya usalama binafsi wa watu, uhuru wa habari, uhuru wa kujumuika na ushiriki wa vyama vya upinzani kwenye chaguzi zenye usawa na haki.Watang'ang'ania ushoga kwa jinsi wanavyopenda hiyo sababu
Mkuu kwani Kazuiliwa Makonda peke yake Au Taifa zima?Hiyo hapo inajieleza yenyewe anaitwa Morgan Ortagus, kasema bashite kazuiliwa kuingia USA kwa sababu ya kukandamiza upinzani,haki ya kujieleza (alivyo hovyo bashite akashikia kidedea ka issue cha face swap cha Idris sultan na kusababisha nchi nzima tuchekwe mtandaoni).
Mishowe msemaji huyo wa Wizara ya Mambo ya Nje ya USA anasema ni lazima serikali ya Tanzania iheshimu haki za binadamu na kuwachukulia hatua wote wanaozivunja kama kina Hery kisanduku ambao wamepelekwa pemba kwa sasa
View attachment 1343098
Bashite na mkewe wamepigwa TOTAL BAN asipeleke makalio kule na roho mbaya..hiyo raman ni nchi zenye travel restrictions,kila mmoja ana matatizo yake,wengine total ban kama nigeria sisi haturuhusiwa ku cheza tena GREEN CARD LOTTERY, shukrani kubwa ziuendee utawala wa awamu ya tano kwa kishindo hiki.Mkuu kwani Kazuiliwa Makonda peke yake Au Taifa zima?
Kuna Hiyo ramani hapo Juu mjumbe katupia Nchi zilizopigwa Ban 2018 na Nchi mpya Ban! Tanzania ikiwemo,
Sasa Kama Nchi tayari ilikuwa Imepigwa Ban? Ina maana gani kumpiga Makonda Ban wakati tayari ulishaipiga Ban Nchi yake?
Halafu nasikia Ina Exclude Watu wanaoenda Kutibiwa,Tourist,Wanaoenda Kufanya kazi!inawahusu Immigrants tuu!
Nisahihishe kama nimekosea!
Nieleweshe Mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuseme ukweli, hii yote inatoka na prof kabudi kupwaya kwenye nafasi wa uwaziri wa mambo ya nje, kaacha kazi ya diplomasia kawa mwandika mikataba wa barrick, niwakati sasa wakuweka watu wenye akili timamu katika nafasi stahiki, makonda is just a peace of icebergHiyo hapo inajieleza yenyewe anaitwa Morgan Ortagus, kasema bashite kazuiliwa kuingia USA kwa sababu ya kukandamiza upinzani,haki ya kujieleza (alivyo hovyo bashite akashikia kidedea ka issue cha face swap cha Idris sultan na kusababisha nchi nzima tuchekwe mtandaoni).
Mishowe msemaji huyo wa Wizara ya Mambo ya Nje ya USA anasema ni lazima serikali ya Tanzania iheshimu haki za binadamu na kuwachukulia hatua wote wanaozivunja kama kina Hery kisanduku ambao wamepelekwa pemba kwa sasa
View attachment 1343098
Hawa wamarekani wangeenda mbali zaidi ya hapa jamani huyu dikteta uchwara atatumaliza na mabomu kwenye uchaguzi ujao,ikiwezekana apigwe ban ya kununua siraha ili ffu watumie filimbi kutawanya maandano yasiyo na kikomo
Eeh hakuna mambo ya kupigwa mpaka kuchakaa tenaHahahahahahaa kitu cha filimbi tu hahhhaj
Ameshajibu Kabudi. Pia waulize Snowden mbona amekimbia Marekani kwa kusema ukweli kuwa marekani wanaduku mawasiliano ya marais wa EU? Hawana demokrasi hao naona wanataka raslimari zetu tu naona wanaona wivu lile deal la Barrick wanaona Africa yote itaamka!
Hahhahahaha! Kwa filimbi watakuwa wanazima moto kwa kuupulizaHawa wamarekani wangeenda mbali zaidi ya hapa jamani huyu dikteta uchwara atatumaliza na mabomu kwenye uchaguzi ujao,ikiwezekana apigwe ban ya kununua siraha ili ffu watumie filimbi kutawanya maandano yasiyo na kikomo
Hahhahahaha! Kwa filimbi watakuwa wanazima moto kwa kuupulizaHawa wamarekani wangeenda mbali zaidi ya hapa jamani huyu dikteta uchwara atatumaliza na mabomu kwenye uchaguzi ujao,ikiwezekana apigwe ban ya kununua siraha ili ffu watumie filimbi kutawanya maandano yasiyo na kikomo