Taarifa ya Mwamba waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa ulimwengu!

Taarifa ya Mwamba waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa ulimwengu!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Taarifa ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu:

"Tunaendelea kushambulia kwa nguvu malengo ya utawala wa kigaidi wa Iran.

Jana usiku, tulimwangamiza Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi. Mtu huyu alikuwa na damu nyingi mikononi mwake; pia ndiye aliyeongoza kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz.

Huu ni mfano mwingine wa ushirikiano kati yetu na rafiki yetu, Marekani, kuelekea lengo la pamoja la kufikia malengo yetu ya vita."hulo Iran

Video: GPO

 
Taarifa kama hizi zinatuumiza sana sisi makobaz, mana taifa letu la Iran halijawahi kuua hata mwenyekiti wa mtaa hapo Tel Aviv 😭 huku Viongozi wetu wakipelekewa moto
 
Anatoa mlio :Agakakskagesh:

1774698418174.png
 
Katokea wapi tena jamani? huyu si alikuwa na video za AI za wafuasi wa mnyaaanzi?
 
Back
Top Bottom