Tena Makonda kawatahadharisha, wasijiite superpower wakati bado hawajazichapa na bongolala...Kanyaganeni tu ila msije kutugusa bongo comando samia wetu awatambarize
hii vita kama kuna mbongo hali atwambie mapema au sio. Coz hata hao marekan wakifa wote kukabaki uwanja hatutaendapo so lets focus with our life broTena Makonda kawatahadharisha, wasijiite superpower wakati bado hawajazichapa na bongolala...
Huyu si niliona humu wachambuzi na wataalam wa vita wanasema kauawa?
Yaani wacha_mbuzi, wale ni mazuzu tu.Huyu si niliona humu wachambuzi na wataalam wa vita wanasema kauawa?
Oh sijui vidole sita. Nayo hii ni AI nawauliza nyie wairani wa lupembe!Huyu si niliona humu wachambuzi na wataalam wa vita wanasema kauawa?
Zilikuwa ni tamthilia za masjid ubwabwa.Huyu si niliona humu wachambuzi na wataalam wa vita wanasema kauawa?
Ndio bhaaana, wachambuzi walisema bwana Netanyau amefariki.Huyu si niliona humu wachambuzi na wataalam wa vita wanasema kauawa?
Hatimae Netanyahu amefufuka mkuu, walisema jamaa amekufa.Taarifa kama hizi zinatuumiza sana sisi makobaz, mana taifa letu la Iran halijawahi kuua hata mwenyekiti wa mtaa hapo Tel Aviv π huku Viongozi wetu wakipelekewa moto
Watadai ni copy yakeHuyu si niliona humu wachambuzi na wataalam wa vita wanasema kauawa?
Kobaz wako hoi sa h πHatimae Netanyahu amefufuka mkuu, walisema jamaa amekufa.