Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Ndani ya jeshi la polisi kuna kijeshi kidogo cha polisi kinachoratibiwa na viongozi wakubwa wa jeshi la polisi.Mazingira ya sakata la dereva wa gari la serikali, landcruiser mkonga, kumtishia dereva wa basi la SATCO mjini Dodoma , liemegubikwa na sintofahamu nyingi.
Ni hivi:
1. Gari hilo ni dark tinted kama kawaida ya magari ya wasiojulikana.
2. Hiyo bastola ambayo inasemekana feki haijulikani kama ilikamatwa hspo hapo.
3. "Kiongozi" aliyebebwa ndani yavgari, kibonge mweupe hajatambuliwa
4. Nyuma ya gari, tyre cover ina nembo ya vyombo vya ulinzi nabusalama.
5. Inasemekana dereva alitetishia bastola alimpigia mwenziwe ambaye alikuja eneo la tukio, hatuambiwi aliko tokomea.
6. Polisi wanasema nama ya serikali ilikiwa imefungwa namba plate fake ya gari jingine lakini hawajamtaja huyo mwenye namba feki. Na zaidi ya hapo ilikuwepo namba nyingine ya chombo cha ulinzi na usalama nda i ya gari.
CONCLUSION:
a) Wasiojulikana sasa wanaanza kujitokeza hadharani bila woga.
b) Hsiwezekani kabisa dereva wa taasisi ya ujenzi kuwa na munkari wa kutaka kumteka mtu ili ampeleke kusikojulikana. Ni vyombo tu vina uthubutu huo.
C)Kwa nini gari la serikali kwa Taasisi ya kawsida kama TARURA wakawa na gari za tint nzito na kuficha identity zao?
d) Maelezo ya polisi hayakidhi mazingira ya tukio. Maelezo ninkama wanafunika kombe wanaharamu wapite.
Soma Pia:
HITIMISHO
Kwa muda mrefu wananchi wengi wana wasiwasi kuwa kuna genge ndani ya serikali, genge hili linatambuliwa na hata polisi, lakini genge hili hata polisi hawana uwezo kulielezea hadharani.
Na ndio hao wasiojulikana.
Genge hilo ni la wakubwa.
Kabisa, kama rais alitangazwa kwa kura 31m za uongo wa wazi, huku kwingine si ni uozo wa wazi?Ndani ya Nchi yetu kwa sasa kupata taarifa za kweli toka serikalini imekuwa changamoto kubwa sana
Halafu cha ajabu zaidi namba za gari ni za bandia!Eti bastola ilikuwa ni toy!
Tatizo kubwa , katika mabadiliko ysliyopelekwa bungeni hivinksribuni, vyombo vyetu vya ulinzi vimepewa madaraja ya kufanya yapendavyo bila kuulizwa na mtu yeyote.TUNGEKUWA NA BUNGE LENYE MENO HAWA WASIOJULIKANA WANGEKUWA WAMESHATAFUNWA..HAYA NDO MADHARA YA BUNGE KIBOGOYO.
BUNGE LINAFELI KUISIMAMIA SERIKALI NDO MAANA HAYA YANAENDELEA KUTOKEA NAHYO INAWEZA IKAWA INASABABISHWA NA KULEANA NA KUBEBANA..Tatizo kubwa , katika mabadiliko ysliyopelekwa bungeni hivinksribuni, vyombo vyetu vya ulinzi vimepewa madaraja ya kufanya yapendavyo bila kuulizwa na mtu yeyote.
Wabunge walipisha sheria hizo bila kuelewa madhara yake.
Sasa hivi barabarani tunaona magari ya TISS na hata Polisi na vyombi vingine vya ulinxi na usalama, huku barabarani wana vyoo tinted nzito. Vile vile wana namba zisizo na utambulisho unaoeleweka.
Hizi ndio dalili za nchi kuendeshwa na rogue elements.
Bunge limepitisha sheria xinaxowakandamiza wananchi na utawala bora.
Mazingira ya sakata la dereva wa gari la serikali, landcruiser mkonga, kumtishia dereva wa basi la SATCO mjini Dodoma , liemegubikwa na sintofahamu nyingi.
Ni hivi:
1. Gari hilo ni dark tinted kama kawaida ya magari ya wasiojulikana.
2. Hiyo bastola ambayo inasemekana feki haijulikani kama ilikamatwa hapo hapo.
3. "Kiongozi" aliyebebwa ndani ya gari, ni kibonge mweupe hajatambuliwa
4. Nyuma ya gari, tyre cover ina nembo ya vyombo vya ulinzi na usalama.
5. Inasemekana dereva aliyetishia bastola alimpigia mwenziwe ambaye alikuja eneo la tukio, hatuambiwi aliko tokomea.
6. Polisi wanasema namba ya serikali ilikiwa imefungwa namba plate fake ya gari jingine lakini hawajamtaja huyo mwenye namba feki. Na zaidi ya hapo ilikuwepo namba nyingine ya chombo cha ulinzi na usalama ndani ya gari.
CONCLUSION:
a) Wasiojulikana sasa wanaanza kujitokeza hadharani bila woga.
b) Haiwezekani kabisa dereva wa taasisi ya ujenzi kuwa na munkari wa kutaka kumteka mtu ili ampeleke kusikojulikana. Ni vyombo tu vina uthubutu huo.
C)Kwa nini gari la serikali kwa Taasisi ya kawaida kama TARURA wakawa na gari za tint nzito na kuficha identity zao?
d) Maelezo ya polisi hayakidhi mazingira ya tukio. Maelezo ni kama wanafunika kombe wanaharamu wapite.
Soma Pia:
HITIMISHO
Kwa muda mrefu wananchi wengi wana wasiwasi kuwa kuna genge ndani ya serikali, genge hili linatambuliwa na hata polisi, lakini genge hili hata polisi hawana uwezo kulielezea hadharani.
Na ndio hao wasiojulikana.
Genge hilo ni la wakubwa.
Hao ndiyo watekaji ,wauaji wa wanaharakati ,wakosoaji na ndiyo wasiojulikana.Mazingira ya sakata la dereva wa gari la serikali, landcruiser mkonga, kumtishia dereva wa basi la SATCO mjini Dodoma , liemegubikwa na sintofahamu nyingi.
Ni hivi:
1. Gari hilo ni dark tinted kama kawaida ya magari ya wasiojulikana.
2. Hiyo bastola ambayo inasemekana feki haijulikani kama ilikamatwa hapo hapo.
3. "Kiongozi" aliyebebwa ndani ya gari, ni kibonge mweupe hajatambuliwa
4. Nyuma ya gari, tyre cover ina nembo ya vyombo vya ulinzi na usalama.
5. Inasemekana dereva aliyetishia bastola alimpigia mwenziwe ambaye alikuja eneo la tukio, hatuambiwi aliko tokomea.
6. Polisi wanasema namba ya serikali ilikiwa imefungwa namba plate fake ya gari jingine lakini hawajamtaja huyo mwenye namba feki. Na zaidi ya hapo ilikuwepo namba nyingine ya chombo cha ulinzi na usalama ndani ya gari.
CONCLUSION:
a) Wasiojulikana sasa wanaanza kujitokeza hadharani bila woga.
b) Haiwezekani kabisa dereva wa taasisi ya ujenzi kuwa na munkari wa kutaka kumteka mtu ili ampeleke kusikojulikana. Ni vyombo tu vina uthubutu huo.
C)Kwa nini gari la serikali kwa Taasisi ya kawaida kama TARURA wakawa na gari za tint nzito na kuficha identity zao?
d) Maelezo ya polisi hayakidhi mazingira ya tukio. Maelezo ni kama wanafunika kombe wanaharamu wapite.
Soma Pia:
HITIMISHO
Kwa muda mrefu wananchi wengi wana wasiwasi kuwa kuna genge ndani ya serikali, genge hili linatambuliwa na hata polisi, lakini genge hili hata polisi hawana uwezo kulielezea hadharani.
Na ndio hao wasiojulikana.
Genge hilo ni la wakubwa.
Ni wazo zuri la kukata mzizi wa fitna.Ina maana JF nzima haina hata mtumishi wa TARURA atudhibitishie pasi kuwa na shaka kwamba yule dereva ni mtumishi wao?
Yaani wananchi Hawa waliouliwa na polisi na kuuliwa wapendwa wao wakiwa madukani na barabarani na hao mapolisi Leo wamtete polisi huyu anayewaweka Mahabusu kwa kesi zinazo dhaminika wamtete polisi akipigwa? Hilo halipo sana wangekanyaga shingoni na kumuua kabisaUmeongea point sana mkuu polisi wameamua kwasasa wanatunga sana story mfano yule doctor kusema kwamba alipigwa na wananchi