Taarifa ya Polisi ina mapungufu makubwa: Sakata la dereva wa serikali kutoa silaha na kumtishia dereva wa SATCO Dodoma

Taarifa ya Polisi ina mapungufu makubwa: Sakata la dereva wa serikali kutoa silaha na kumtishia dereva wa SATCO Dodoma

Tatizo kubwa , katika mabadiliko ysliyopelekwa bungeni hivinksribuni, vyombo vyetu vya ulinzi vimepewa madaraja ya kufanya yapendavyo bila kuulizwa na mtu yeyote.
Wabunge walipisha sheria hizo bila kuelewa madhara yake.

Sasa hivi barabarani tunaona magari ya TISS na hata Polisi na vyombi vingine vya ulinxi na usalama, huku barabarani wana vyoo tinted nzito. Vile vile wana namba zisizo na utambulisho unaoeleweka.

Hizi ndio dalili za nchi kuendeshwa na rogue elements.
Bunge limepitisha sheria xinaxowakandamiza wananchi na utawala bora.
Banana Republic
 
BREAKING NEWS!!
Tetesi kutoka baadhi ya wafanyakazi ndani ya TARURA ni kwamba, huyo dereva wa Landcruiser mkonga, ni askari toka vyombo vya ulinzi na usalama. Na kweli gari hilo ni la TARURA.
Swali ni je askari wanatembea na bastola feki!!!
 
Lazima tatiso iko.
Dereva io kruza iko nguvu na hapana ogopa mtu?
Namna gani veve!
 
Ndugu zetu Polisi mjiangalie ni kweli mnafanya kazi kusaidia Usalama wa watu ila eleweni Dunia imebadilika sana kitendo pekee cha wananchi wote wale kukomaa hadi kumuokoa dereva mjue watu wamechoka kuonewa na wanajua kwamba utekaji na kupoteza watu INATOSHA...hatua inayofuata watu wataanza kupiga hao watekaji vibaya sana....

Haiwezekani mtu atekwe mchana kweupe na aende jumla jumla...imetokea sehemu nyingi tu hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom